inaumiza sana kujua Rafiki uliyemuamin kumbe ni mnafikii,tena anakucheka mda wote aiseee🙌🙌Maisha bila rafiki ni mazur sana
2025-08-08 12:02:18
25
🦅 👁️ :
Si rafiki tu, yaani mpaka ndugu wa damu ishi nao kwa machale
2025-08-08 07:40:39
56
Lilian Michael :
Mimi sina rafik na sitak ila ninaishi na watu vizur inatosha
2025-08-08 22:33:06
25
aiemPee27 :
kwa ambae hajawahi kutendwa na rafiki mnafki haezi kuelewa 🥺 nilishapigwa tukio mpaka leo sina rafiki kwenye maisha yangu😪 ila ninawatu tu ambao nafahamiana nao 😭
2025-08-19 20:26:18
11
Sity Stylish 💃🌹💃 :
Sana tu hukukwetu pia wapo
2025-08-08 18:57:38
6
Ukhuty zaly :
rafiki angu ni mama angu wallah sina hamu na marafiki nilimuamini rafkini lakini kilichonikuta nimemuachia mwenyez mungu
2025-09-03 18:21:03
5
🌹afnaan tz🌹 :
ndio mahana sina rafiki kumbe najiepusha na haya
2025-08-07 15:59:38
8
Pretty Aggie🇰🇪🇩🇪 :
true kabisaa
2025-08-08 21:20:01
7
Georgina 001 :
wee Kwa kweli kama sio Mungu kunisaidia migekua nishaakufa Asante Mungu wangu
2025-08-08 11:08:27
5
yusuf :
kama mnakubali sheikh anasema kweli kabisa gonga hapo🙏💯❣️
2025-08-12 02:53:30
5
mo beauty💕 :
sina neno ila kwa yaliyonikuta kwa hao marafiki sina hamu nao alhamdulillah nipo hai hadi sasa😥
2025-08-08 15:25:38
5
Beautiful star 🌟 :
ukweli kabissa
2025-08-08 19:45:15
5
drama queen 🇰🇪🇵🇷❤️🎭 :
Mimi hata sitaki urafiki Na mtu tena
2025-08-08 10:09:47
5
Benneth Tumaini (Urio) :
duuh kweli kabisa
2025-08-08 18:38:44
5
Joyceshakour369 :
Kwann mmeifunga tusiichukue
2025-08-09 07:23:17
5
Official_Sai+254 :
sheikh naomba ueke sehem ya kudownload
2025-08-07 13:18:06
7
Francine, femme battante🥀🌹🥀 :
ndiyo baba kweli ni mepitiya changamoto hiyo mpaka miye leo ni meharibishwa jina
2025-08-10 05:18:11
5
الشرفُ بالأدبِ لا بالنسبِ🇹🇿 :
Wee ipoooooo wallah spend nasitak mirafik tena dunian 😡😡😠😔
2025-08-07 02:44:23
7
cute_mwaju :
nikweli lakini sikuizi tumewagundua wanavotaka nasi tunataka
2025-08-09 20:44:26
6
Fatma Mohamed :
mmmmh yalinikuta mm hao ya marafiki ila kwa sasa cna rafiki na wala cna haja nae weeeeh
2025-08-07 18:47:21
6
kipenzi :
kujeni wa 10
2025-08-20 10:04:59
7
Salianspiec :
kabisa maubwa sana
2025-08-08 20:17:18
6
Janet :
Nilijionea mm
2025-08-08 17:20:04
8
To see more videos from user @black.island84, please go to the Tikwm
homepage.