mimi nilikua navaa longi tight kwa tumbo ili nifiche first months, niliskia mathe "finya tu utuzalie kilema "
2025-08-05 17:45:59
3356
Ms.Sara🇰🇪🇦🇪 :
nilikuwa nakula hadi in the middle of the night nikaambiwa nipeleke walulya kwao😂😂
2025-08-05 13:46:00
2677
Trinah :
Niliulizwa kama siku hizi hatuendi clinic ama nilianza online 🤦♀️🤦♀️🤦♀️
2025-08-05 18:16:29
1316
TIETIE🩵🩵 :
Mnasema comment section Kila mtu alipata mimba akiwa kwao hakuna wa ndoa 😁😁
2025-08-05 18:30:31
522
user8456784610259 :
mamangu alianza tu kunipea tshirt zake baba yangu asione mimba,live long momma🥰🥰🥰
2025-08-05 16:30:26
527
emma :
niliambiwa niede hosi nikaangaliwe ka nimebeba paka😂😂😂😂
2025-08-05 15:46:24
324
Nurse🥰Dee🩺💉♥️ :
Nikikumbuka nilizalia msomali naishiwa pawa😂
2025-08-06 03:25:52
245
sonnie terry :
mimi nilijisema at 2 months to avoid drama..alinyamaza 9 months but after kuzaa nilisomewa hadi nikaamua kufunga miguu😂😂😂😂😂
2025-08-05 16:43:20
244
💎🥵🔥jaccywin🥰💦💯 :
Nilidhani hajui until siku aliniambia amkeni mkaote jua mtamea rickets 😂😂😂 maaaaaaaaa'am
2025-08-06 07:46:14
240
Shee🥰 :
mum akiserve food ya masiz na watoi wao akasema huyu namuwekea mingi wake ako kwa tumbo bado🤣🤣
2025-08-05 17:06:57
242
ivy'sbakes :
My aunt alitapika asubuhi and she asked me for water. my grandma akaniambia nisipelekee mtu anaeza tosheleza mwanaume usingizi usiku mzima . I laugh till todate 😂
2025-08-05 22:14:58
142
peshpoly :
30mins iyo song ikijirudia kumbe niko comment section 😂😂😂 mm bado
2025-08-06 12:09:49
123
Precious Lucyline Nyambura 🌹 :
Mimi nilikua napenda samaka mum akaniambia nilitafuta wa kunizalisha nikaona Tu mjaluo 😂😂😂
2025-08-05 16:48:08
163
Binti Amina🥰🥰 :
😂😂😂 niliskia toa hiyo trouser utaua mtoto💔😂😂
2025-08-05 16:37:33
102
Tamasha :
comments are sending me🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-05 19:08:03
134
maggymaish02🇺🇲🇺🇲🇺🇲 :
heri nyinnyi Mimi nilidhani nikitoa my mam hatajua lemme tell you maina😂😂😂😂😂😂
2025-08-06 06:07:12
42
Sharlyneshally :
yangu haingefichika mimba ya twins niligunduliwa tu na wiki moja🤣🤣🤣
2025-08-06 06:01:44
71
Sam :
soo nyinyi wote hapa mko na cocomelons?🤣🤣🤣
2025-08-06 06:01:53
44
JERUTO👑 :
nilikuwa nimeficha mimba sanaa mathee akaniuliza unazaaa lini😂
2025-08-05 17:32:31
58
zakngash71 :
😂😂😂😂ebu tuone huyo muislamu 😂😂😂
2025-08-05 11:59:46
78
jacklinemutua298 :
ilikuwa wakati WA COVID,nikajitayarisha kwenda church,maths akaniambia hujaamka watu wa mimba wamekatazwa kwenda Kwa umati🤣
2025-08-06 15:56:47
51
Phlegmatic Queen🦋✨ :
Eeih😅anyway I hope uyo muisilamu wetu anaendelea poa😂😂
2025-08-05 14:11:25
55
Dorcas mukethi :
mum aliuliza next clinic lini 😂😂niliisha nguvu
2025-08-05 16:42:25
59
_nyarari🌼✨ :
😂😂mzae alikua ananipata nikipika Chapo daily at 2.00am😂
2025-08-06 20:00:09
28
peters favoured :
our parents......ghai🙆🤣🤣🤣🤣😜
2025-08-05 13:05:00
18
To see more videos from user @maggiesteve25, please go to the Tikwm
homepage.