Mithali 7:6
[6]Maana katika dirisha la nyumba yangu
Nalichungulia katika shubaka yake; 7 Nikaona katikati ya wajinga,
Nikamtambua miongoni mwa vijana,
Kijana mmoja asiyekuwa na akili,
[8]Akipita njiani karibu na pembe yake,
Akiishika njia iendayo nyumbani kwake, sasa hapo unaweza ukaendelea mpaka mstali wa 18 ndipo utakapo pata maana kamili maana bina damu wanazidi kuwa wapumbavu.
2025-08-06 19:03:10
144
rachel🥰 :
tuliochukua biblia tukasoma tukahakikisha gonga like
2025-08-06 17:29:57
113
𝖕𝖆𝖙𝖔 :
hii ni kitabu gani kwa bible nataka kua serous Sasa na story za bible ..😳😳😂😂
2025-08-06 09:16:02
971
💞genius g💞 :
tulio somaa na mistali mingine tujuanee
2025-08-06 20:06:26
320
Fatma :
hii sio bibilia acha kuharibu kitabu cha mungu na usherati akili yako inawaza mkulano
2025-08-06 11:55:00
76
pyrexiz 254 :
hiii si biblia bro acha kutupima 😂😂
2025-08-06 09:53:06
16
pamela moraa (back up) :
nani mwingine amesoma kweda chini hadi mwanaume akamfuata huyo mwanamke kama ngo'mbe aendaye machinjoni.......
2025-08-06 14:03:07
194
kipngetich81 :
kumbe umalayaa iko kwa biblia😂😂😂
ndo maana najaribu kuacha inakataa😂😂
2025-08-06 19:42:47
252
💞𝑫𝒆𝒏𝒏𝒐𝒉 ~𝑴𝒂𝒄𝒉𝒐𝒓𝒂 :
𝑚𝑒𝑡ℎ𝑎𝑙𝑖 7:18-19
2025-08-06 07:12:05
19
memelover :
na mbona hatujaisomewa hii verse kwa misa????kanisa ni scam
2025-08-06 17:11:50
9
… :
Mtu aniambie nikitabu gani hiki kabla sijalia 😔
2025-08-06 15:52:09
6
Mr Smile🥰 :
proverbs 7 25 bible verse 😂
2025-08-06 23:05:20
16
Apostle Baraza Abel. :
Which book and chapter?
2025-08-06 06:26:17
18
Ericko De teacher :
Kumbe bibilia pia hufunza watu umalaya🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-06 07:23:56
9
muhandawasike :
Naona kuna biblia zingine zimetokea za kuporosha watu
tulio soma mpka mandishi ya chini njooo apa 😁😁😁😁😁😁
2025-08-07 20:19:28
18
otieno :
Proverbs 7:18-19
Ni ukweli
2025-08-06 06:28:29
18
️ :
lakini hii generation ni funny mnataka kujisomea kwenye mnataka ndio mseme ata Bible imeandikwa🤣before ufike apo read from verse 1 to understand the whole chapter
2025-08-06 10:14:39
65
kida mt comedy🌍 :
Nani anataka tulikiane video😂😩🥰 reply done
2025-08-06 09:17:59
120
𝐌ⓐ𝐣𝐣𝐮𝐡⚪™️ :
proverbs 7 18-19
2025-08-06 10:34:36
220
+254 SHARON :
Verse 20: Amechukua bunda la fedha hatarajea nyumbani karibuni😂😂😂😂😂😂
2025-08-06 14:56:50
20
Nut king Alex 🇪🇹🇪🇹🎙️🎙️ :
hakuna bibilia imepangwa verses ivo angalia
2025-08-06 18:10:16
9
To see more videos from user @philo.chemwa.ww, please go to the Tikwm
homepage.