Nakumbuka kuna mdada alikuwa mchapakaz sana afu akafutwa kwa kosa la kutotabasam mbele ya mteja 😂😂
2025-08-07 08:51:28
82
jessy sugar free :
sawa nishafutwa lakini nimejifunza kitu naendana na matakwa ya people now day I became too lazy more than others and let me tell you I really enjoy 😂😂😂
2025-08-07 14:04:05
12
luci :
And that's how nliacha kujituma😂😂acha tukuwe lazy wote
2025-08-07 04:21:46
13
neyshatz :
mwanaume atakayegusa comment yangu namtongoza😂😂😂
2025-08-09 00:45:05
39
Ramson Official.. :
Kwani kampuni ni yako...
2025-08-06 20:29:46
36
Fyfy Oriesh :
Sad reality
2025-08-10 11:19:45
5
dee mziwanda :
Ndo funzo uongeze juhudi kweny business yako 😂😂😂
2025-08-07 10:40:17
8
Davie :
anakuwaje mkubwa wangu na nishafutwa 😅
2025-08-07 10:25:23
6
baby g😻🧚🏽♀ :
hii nayo ni ukwel niamin me🤔😢✌
2025-08-06 20:34:06
8
Alan Nails :
watu tumefukuzwa tujuane bna
2025-08-07 11:04:35
9
kipkirui :
Am a victim here 😏
2025-10-22 16:42:46
1
chubbyT :
hii imemtokea my partner at job ...i was like heeeee jmn mbona n hardworking lkn hakupata mercy...at the same time na mm niko on 6 months contract
2025-08-07 06:39:42
5
kelven♧♤maasai :
akasema kubomoa mlango elf 76
2025-09-29 14:06:15
3
jay joah :
yaan iyo ilinitokeq mm baada y kuongeza bidii wakanichongea kwa boss kanifukuza😂
2025-08-07 13:04:51
10
kinyash24 :
sema tu wakamba acha kupita shortcut🤣🤣🤣
2025-08-08 08:18:41
8
lah_katuju :
true
2025-08-10 06:07:59
2
Sylz :
Be panctual, ila kila kitu kiwe na kiasi punguza shobo fanya majukum yako uone km utafutwa😂😂😂
2025-08-07 18:09:04
8
Marie Tina :
Very true 🤣🤣
2025-08-07 09:54:50
3
Ally Abdallah :
why🤣🤣🤣🤣
2025-08-07 19:11:53
2
G7 :
Unajuwa usisome ujinga kwa sababu watu ni wajinga. Kubali kuwa wakukosa mwenye juhudi. One day utakuja kupata usichokitarajia
2025-08-07 14:42:04
1
Taisam :
nataman niweke status ila 🤣🤣
2025-08-24 08:28:43
3
Marya Asu :
the truth in this😂😂
2025-08-12 17:16:50
4
Irneos kipkogei :
facts🤣🤣🔥
2025-09-05 12:47:35
1
PYT :
Story of my life
2025-08-08 22:00:32
2
KyLãñ..07 :
surely
2025-08-07 10:07:38
2
To see more videos from user @kanga_magica, please go to the Tikwm
homepage.