@muthamia_content_agency: GenZ Beth Zawadi airs out her frustration after the local chief in Turkana County refuses to sign her ID application papers 😔 #GenZ #Turkana #turkanatiktokers🥰 #viralvideos #kenyantiktok🇰🇪
huyo ni ule chief pia anasumbua shangazi wakina fardosa ama
2025-09-29 06:38:38
0
husseinTheSneakerGuy :
Chief ni mjinga kama rais wake … tupee namba yake
2025-08-06 19:34:23
863
Masila :
That English is amazing, having come from Turkana, your mind is clear, after ID go for your passport as well, You are global.
2025-08-06 23:39:12
431
mzeiya :
chief wa nabulon hako na hiyo tabia sijuhi mbona
2025-09-30 10:25:17
0
vinnecx0 :
Huyu nikama aliongea kizungu mingi, na local chief hakuwa anaelewa
2025-08-07 02:04:59
557
Nambikhwa-BobGil :
Sorry but hukai wa hio side ,Turkana gani anaongea sasawa hivo
2025-08-06 20:54:11
22
Rëìg'ñs🇰🇪 :
leta number yako basi tukingojea ya chief😂
2025-08-06 20:19:29
247
lemashon kironkai :
English 🔥🔥🔥🔥
2025-08-06 20:09:56
22
AndreaCream :
Fabulous 😍😍😍😻🤩🙂
2025-08-23 20:12:19
0
Jarsa Hassan :
mbona alisema Rudi kwenu?... kwani kwenu ni wapi for real juu chief lazima Ako na information flani ndo maana amesema hivo
2025-08-06 20:14:39
18
David Lusakha🇰🇪 :
It's unfair that many real Kenyans are being denied identification cards while others, like some Somalis, are getting them without struggle. This is wrong. Every Kenyan citizen has the right to be issued an ID, regardless of where they were born or which county they live in. This discrimination must stop.
2025-08-07 15:40:22
34
@rauta254 :
vitu kama hizi zikiendanga viral, huyo chief either a resign ama akule kalamu,, may this video go viral in Jesus name
2025-08-06 17:27:53
402
Migwel Graffix :
this the new trend in Kenya
Gen Zs are Not given IDs cz hao ndio wataangusha kasongo,,
2025-08-07 05:22:57
210
🌻NimoRamla 🇵🇸🇳🇬🇰🇪 :
hii Kenya, umejaribu kununua chai akakataa
2025-08-07 10:34:18
6
Mweha Gee 🇰🇪 :
Birthday yake ya 18th ni when😏😏 . . . asking for the silent ones
2025-08-07 13:57:15
0
Sam@43 :
sorry Zawadi. If it is that. madam Chief once refused to write a recommendation letter imagine she refused.
2025-09-24 09:14:33
0
KARANI JR(father's son) :
nani ameona ni karembo 🥰🥰🥰
2025-08-06 21:28:07
62
kevo🇰🇪✅✅ :
huyu demu ni mali 😍😍
enway huyo chief ni ng'ombe 😏😏
2025-08-06 20:11:59
81
user7341129273930 :
kuna mtu atapoteza kazi juu ya marigo tu
2025-08-06 19:49:16
214
jojo :
That’s what they did to my sister ikabidi akachukulie ushago lol tuliambiwa tukachukulie western juu sisi ni waluhya and we have lived in Mombasa all our lives
2025-08-06 22:20:21
10
Agasto :
Mbona wewe ni msafi na wa turkana hukaa wachafu.
2025-08-08 05:31:26
0
Roticah Roticah036 :
nani anaesa ongea kiingeresa hapo turkana hivi 😅
2025-08-07 12:12:46
10
🌸Magda 🌸 :
Quick question ni mwanamke?
2025-08-06 20:26:42
17
backbencher_011 :
mbona umepost bila hii video bila number ya chief nimejam mara mbili uchungu na kukosa kupost number
2025-08-06 19:53:56
69
Kenyaness :
Tupa tie number ya huyo chief
2025-08-06 19:05:06
11
To see more videos from user @muthamia_content_agency, please go to the Tikwm
homepage.