hv wakina baba wenzangu apa wapo kweli au ni mimi tu namfatilia uyu doctor
2025-08-07 05:42:16
149
🦋Lee 🦋 baby🌹 :
mtoto kucheka anaanza miez mingap
2025-08-07 21:29:51
11
user1125132481449 :
tabia ya mama mkwe Wang hiyo akikaogesha anakarusha et kachangamke
2025-08-07 07:32:47
55
Mamakabosii :
Doctor samahani mimi nina kichanga cha miezi minne na nimepima ninaujauzito natakiwa nifanyaje pleas
2025-08-09 09:15:11
14
Alice :
Doctor Jess naomba msaada dear nina mtoto anamiezi 10 but nimepima nimejikuta nimjamzito tena🙆🙆 Naomba msaada dear nn nifanye...? Natakiwa niache kumnyonyesha mtoto au nifanye nn🥹🥹 Nahisi kuvurugwa Jamani naomba msaada doctor au kwayeyote anae jua nn nifanye..??
2025-08-07 20:13:20
15
liliannashon :
dad mm nitatengwa najiona kabisaa 😂
2025-08-07 10:52:55
26
loveness :
wakwangu ashakunywa had uji na maziwa ya kopo😭😭
2025-08-07 06:29:54
8
zaynah🌺 :
Hivi mtoto mchanga mwisho miezi mingap ndio uchanga unaisha?
2025-08-08 08:50:50
7
idaahy :
yani nmetoka kumfokea mtu hp kis kumtikisa af nakutana na video hii nimeenda ku connect blutooth kabisa😂😂
2025-08-07 06:58:10
71
@salma J :
habar Dr mm ni mama k nina miezi 9 Sasa lakini Toka mimba Ina 5 mpaka Leo Kuna uchafu unatoka uku chini yako kama USAA alafu uku chini Pana Waka moto mno nimisha tumia dawa za Kila aina ila wap Sasa nauliza nikijifungu ai wezi leta mazara Kwa mtoto?
2025-08-07 06:32:44
5
Messi's side chick :
me hata wageni waso wa lazima kwangu sitak 😂😂yaan nikiwa mzaz sitam heka heka mie
2025-08-07 06:34:39
23
user15545036378580 :
wakwangu anatikiswa na mamkwe hapa nataman nimpkonye
2025-08-08 13:05:48
8
Tz Gel 🇹🇿🩺💎 :
mungu pekee ndo anatulindia hawa watoto sas utamzuia baba ake au mama mkwe amkiss mtot
2025-08-14 09:51:37
7
kilusu4 :
Tusio na maziwa kwa nyonyo je
2025-08-07 07:15:39
6
mrsjoe1o :
Hapo kwenye Maji kuna sisi ambao tunaenda makazn tumewaanzishia formula imekaaje hii
2025-08-07 05:54:26
7
Gee Sports Point :
nani aliletaga huu ujinga wa kutikisa watoto au kuwarusharusha 🙃....
Kuna mtu alinirusha nkiwa mdogo naumwa Hadi leo..malengo yangu ya kuwa rubani sijafika tena
2025-09-30 11:41:59
9
Mercy clev :
Mungu akuweke kwaajili yetu Mumy🥰🥰
2025-08-07 06:40:46
10
zamzam :
na ile kumlusha juu ili asiogope au kumgeuza juu chini chini juu
2025-08-07 06:50:03
5
Fatma :
yaan sisahahau Kuna mtu alikuja mchukua mtoto angu mpita njia tu na jiran ambae hatujazoeana sana na ni mwanaum alaf alikua ata akipita asalimii bas iyo siku natoka tu ndan mtoto kabebwa na dada ake akamchukua akamrusha na mabusu kama yote mdomon nilishangaa sana kuona ivo maana sina mazoea nae hata kidgo na usiku sikulala moyo unauma nikikumbuka baada ya sik 2 tu akatoka vipele vingi mwili mzima jaman watu hawaaminik et😭
2025-08-07 13:25:07
5
Kurupoison ⚡️ :
Je mtoto huogeshwa kwa muda gani baada yakutoka kuzaliwa naomba nisaidie
2025-08-07 09:57:56
3
gracemauki7 :
mtoto wangu ana
mafua makali sana nifanyaje
2025-08-07 19:09:29
1
dada master :
hiv mtu ukiambiwa una PMTCT 2 maana yake nini
2025-08-07 18:37:05
1
mrs hossein :
dokta mm mwanangu Ana miezi 3 ila amekataa kabisa kunyonya maziwa yangu je unaweza kunisaidia
2025-09-08 11:05:26
1
mj@double2 :
doctor mtoto machanga anatakiwa kulazwaje tafadhal.
2025-08-07 16:41:14
1
kipepeo🌻💝 :
Yani kama Wangu,nashangaa Mtu akimbeba anamkis hadi anamtolea Ulimi wake..nikitaka kumkataza napata hofu akinirudishia namfuta na wipes..Now sirudii😢
2025-08-07 20:54:05
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.