@rabehmaouassi:

Mouaad34
Mouaad34
Open In TikTok:
Region: DZ
Thursday 07 August 2025 09:40:23 GMT
340
57
2
1

Music

Download

Comments

dykeneaj1d1i
@Ramzi34 :
🥰🥰🥰
2025-08-07 11:35:12
1
To see more videos from user @rabehmaouassi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Father Patricio Alfredo Sánchez Molinari, a Catholic priest in Ecuador, has died after a large wooden cross fell on him while he was celebrating Mass at the Perpetuo Socorro Church in Guayaquil on October 17, 2026. The incident was captured during a livestream of the service, shocking worshippers inside the church. The Archdiocese of Guayaquil confirmed his death, while the cause of the cross falling has not yet been officially explained. --------------------------------- Padre Patricio Alfredo Sánchez Molinari, kasisi wa Kanisa Katoliki nchini Ecuador, amefariki dunia baada ya msalaba mkubwa wa mbao uliokuwa ukutani nyuma ya madhabahu kumwangukia wakati akiendesha ibada ya Misa. Tukio hilo limetokea Jumamosi, Oktoba 17, 2026, katika Kanisa la Perpetuo Socorro, lililopo katika mji wa Guayaquil nchini Ecuador. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, tukio hilo limerekodiwa wakati ibada hiyo ilipokuwa ikirushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii. Inaripotiwa kuwa msalaba huo ulijitenga na ukuta na kumwangukia kasisi huyo takribani dakika ya 27 ya ibada. Tukio hilo liliwashtua waumini waliokuwa kanisani, huku baadhi yao wakisikika wakipiga kelele na kuomba msaada baada ya msalaba huo kuanguka. Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Guayaquil limethibitisha kifo cha Padre Patricio kupitia taarifa rasmi, likieleza masikitiko yake na kutoa pole kwa familia yake, ndugu zake wa kidini na marafiki. Hata hivyo, hadi sasa, taarifa rasmi haijaeleza chanzo cha msalaba huo kuanguka wala kutoa maelezo ya kina kuhusu mazingira ya kifo chake. Tukio hilo limeibua hisia mbalimbali miongoni mwa waumini na watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna lilivyotokea wakati wa ibada. #Updates #HabariZaDuniani #5STARNEWSTZ

About