@afyayakojukumulako: kalenda hii itakusaidia kupanga uzazi kwa mzunguk 2a hedhi wenye siku 21#nurry ......og#creatorsearchinsights #period #healthy #womenhealth #for you

Mwangazahealthcare🎆
Mwangazahealthcare🎆
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 07 August 2025 11:49:50 GMT
41927
302
20
76

Music

Download

Comments

bernadwilliam175
bernad :
mm Kila talehe Moja mpka talehe tano
2026-07-08 19:29:58
1
user1392565552790
user1392565552790 :
Jaman namba munixaidie
2026-02-26 19:25:05
1
prisca.sikaona
Prisca Sikaona :
mm sielewi kabisa mm uwa naingia tar 5 lakn mpaka Leo sjaingia nikipma mimba sna shida ni nn
2025-08-12 19:10:55
2
miss0490
Miss :
mm kutumia kalenda cjuw ila naingia kwenye period cku saba Jee cku za hatari ni zipi naomba unisaidie
2025-08-08 06:31:03
3
reinfrida_20
Reinfrida Mabula :
Dr sorry mm huwa naingia period kwa cku 3 ambayo huanza trh 12,sasa nikihesabu kuanzia trh 12 kama cku ya kwanza najikuta nina mzunguko wa siku 31
2025-09-25 12:25:39
2
pendo.jeremiah8
chibaby pendo💞💞 :
mm 27
2025-08-10 13:24:37
2
user5147921220520
know nomb :
kwann mm mara hii nimepitiliza tareh yng n nimepima mimb sin
2025-10-12 08:47:36
1
pretty.mariamu
pretty mariamu💕 :
mimi naingia tareh 27 siku za hatali ni zip
2025-08-08 07:54:39
2
dawa_za_uzazi_wanawake
Dawa_za_uzazi_wanawake :
Kuhesabu calender ni njia nzuri ya kuzuia mimba au kujua siku za kushika ujauzito
2025-10-28 17:14:53
0
user5493321788287
shamimu :
@shamimu:@shamimu:hello 👋 Mimi sipajua zamani hedhi mwezi 2 ndio huanza na mara Tano kwa 21trh na 23 mamaliza kama cku ya nafundisha bado jamani kwa nikipima na mimba sina naombi Mimi na wewe muhimu na kusaidia nafundisha vipi
2026-06-26 14:36:08
0
user16105981305215somii
it's JOYIE :
mtu anaeza pata ujauzito time ya period
2025-08-10 12:53:17
1
mdoesalum
Zainab :
mimi sielew kakenda ila nabrid sik saba
2025-08-09 12:08:46
3
official.ney78
official ney❤️👌 :
Mimi siku zangu hazina mpangilio nachanganya tarehe je naweza shika mimba
2025-10-10 19:12:25
0
prettynana323
pink ~nana🤍 :
mi naingia trh 25 siku tatu siku za hatr n zip
2025-10-15 17:21:19
0
mwnacuty
aisha quty :
siku 21 wabrid tu
2025-08-07 15:56:11
1
naice087
naice :
na km nilikuwa naingia na mzunguko wa siku28 mara gafla nikaenda mpk mzngk wa siku 21 kwann
2026-05-31 19:18:59
1
afyayakojukumulako
Mwangazahealthcare🎆 :
@Happy Ajuna hiyo hapo kalenda ya mzunguko wa siku 21
2025-08-09 14:43:06
0
e.l.s.i.e23
E.l.s.i.e🥰🦋 :
Me ck 26 mzunguko wang ck za htr n zip
2025-08-08 12:35:13
2
To see more videos from user @afyayakojukumulako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About