@almas.uzazi.hub: Maajabu ya kitunguu chekundu ( red onion) 1.⁠ ⁠Husafisha mji wa mimba ➡️Husaidia kuondoa uchafu na sumu kwenye kizazi. 2.⁠ ⁠Huimarisha mzunguko wa damu ➡️Mzunguko mzuri wa damu husaidia afya ya mfuko wa mimba na mayai. 3.⁠ ⁠Hupunguza maambukizi ➡️Kitunguu chekundu kina viambata vya kupambana na bakteria na fangasi, hivyo hupunguza PID na maambukizi mengine. 4.⁠ ⁠Huongeza ute wa uzazi ➡️Hii huongeza nafasi ya mimba kutunga kwa urahisi. 5.⁠ ⁠Huchochea homoni za uzazi ➡️Husaidia kuuweka sawa mzunguko wa hedhi na kuongeza uwezo wa kushika mimba. 6.⁠ ⁠Hupunguza maumivu ya tumbo la hedhi ➡️Hufanya kazi kama anti-inflammatory ya asili. Share na ndugu na jamaa, hakikisha unafollow akaunti yetu kwa mafunzo zaidi! #uzazi #fertility #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #usa_tiktok #usa_tiktok #usa_tiktok #foryou #trendingvideo

Almas uzazi hub
Almas uzazi hub
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 07 August 2025 22:01:27 GMT
14909287
149004
631
15958

Music

Download

Comments

queenmiss823
🫀💫ᵐꜞᔆᔆ᭄ Qᴜᴇᴇɴ✿࿐💫🫀 :
mujhe pata hai ya kya hai
2025-08-11 18:29:36
60
anam.khan3593
آنت حیات :
what is this
2025-08-11 09:09:24
88
user1681048512629
user1681048512629 :
only onion🧅???
2025-08-11 23:16:45
24
pappielava
Iman :
I used this nkanyesha
2025-08-08 12:43:30
6
fabiimughal2
Fabimugal2 :
is this used yest infection in utris
2025-08-11 07:22:53
7
gods.last.born.da
God's last born daughter :
dear is it bad to have that discharge
2025-08-10 16:24:40
7
pretty.shan66
pretty charity :
Aki mm dada niko na mtoto mmoja Ila natafuta wapili lakini si shiki ujauzito Tena , tatizo nn lipi .
2025-08-08 09:53:45
9
mariam.omar701
Mariam omar :
hii nayo ni uchemshe ukiwa na mume karibu aaah😂
2025-08-09 17:23:41
11
ciaramk1
ciarabeiby dajose :
how long can one take this
2025-08-08 16:27:28
12
hajjomusa1
Hajara musa🤍💎🦋 :
Sorry please what is this use for ???
2025-08-13 17:39:06
13
loveness.patrick6
Love❤️ :
siku za kawaida au ukiwa period
2025-08-08 10:30:28
7
walidwalidwalid729
أم ♥️ركاان :
لي فهم يقولي
2025-09-09 18:21:35
8
hellenabby6
len :
after kutumia Kuna uchafu utatoka au
2025-08-08 11:20:53
8
user7815761934666
masumbo :
hii kitu naendelea mayo wacha nione kama NI kweli au content
2025-08-08 11:27:19
6
user2234472798107
issack issack :
yan me naushuhud na hii kitu jamn mpka inaludisha piliod iliyo potea
2025-08-10 15:21:36
5
nucra.ashirafu
Nucra 💞 :
nitaludi kutoa ushihuda subir nifanye Kwanza msiende mbali
2025-08-10 12:07:14
13
suzanemisana
suzane misana🇹🇿 :
hii kitu nkwel jmn
2025-08-08 12:10:42
9
mohammadrashed032
🏹Mohammad Rashed🏹 :
يعني مش فهم كويس ده له ايه
2025-08-11 18:44:15
6
stljoseph100
stella :
hii ni kweli yan 🥰🥰🥰
2025-08-08 10:18:28
7
valkiki_9
💞💕THE LIONESS❤️ :
I used this one day to my periods and everything happens so smoothly.no pains no nothing , periods only for 3 days and so bad odours after
2025-08-08 13:47:56
20
alfa.vilakazi
Alfa Vilakazi :
so I have to drink for how many days I need to understand
2025-08-09 18:42:20
6
user26711280084496
madube :
i wabt it please
2025-10-04 21:02:51
0
muchee.kamuchee
LADY SALLY❤💜💫🤍 :
vitunguu vya mwarabu havitatosha n humu mpka nyute poooòo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-09 17:30:03
1
megamixshow
Sabina Simon :
hii inafaa kwa mtu asiyepata ute wa mimba???
2025-08-09 22:07:51
0
gesare285
Bree💙💙💙 :
pia mimi nilimaliza periods zangu after 2 weeks ikarudi but nyepesi shida inaweza kuwa wapi
2025-08-08 16:50:06
2
To see more videos from user @almas.uzazi.hub, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About