@gospel_updates: NABII EDMOUND ATABIRI KATI YA VIONGOZI WA NCHI YA TANZANIA | #prophetedmound_mystic #tiktoktanzania #kenyantiktok

GOSPELTV
GOSPELTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 August 2025 12:59:56 GMT
33343
1015
71
130

Music

Download

Comments

teacher.allen6
Teacher Allen :
wapigane mpaka watoane damu siombi ng'ooo.😅😅😅
2025-08-08 20:07:29
21
darpromotions
darpromotions :
MUDA HUO WA KUOMBEA VITU KAMA HIVYO BORA NIENDE ZANGU KUCHEZA DRAFT😂😂
2025-08-08 21:23:12
7
user33687281615192
mossah :
daah manabii wa kikristo mnatuchosha sana 🤣🤣🤣🤣 hivi kweli na waumini wenu wanawaamini
2025-08-09 03:37:28
0
jebelizohomedecor1
jebelizohomedecor1 :
Wakati wa Nchimbi kufight m nitapray yasitufike sisi wananchi wa chin ila walioko juu wanaotutakia mabaya kiwalambe tu
2025-08-09 02:48:47
2
user4588444984266
femikitoto :
Wanao sema uyu mtumishi awekewe ulinzi weka koment apa
2025-08-09 11:35:17
3
fanbiozy975
FragranceB :
huu uchaguzi mwaka huu Mungu atusaidie
2025-08-11 10:26:51
2
binlashku
binlashku :
Acha Usenge wewe
2025-08-08 14:21:42
1
wellahsuleiman
wellahsuleiman :
OMBEA TAIFA LETU.
2025-08-09 09:38:37
1
marryaron
marry aron :
Yani mungu nakusihii Mungu tusaidie hiyo pembe kuu ianguke
2025-11-04 09:28:31
2
willsonnjowelo1
willson Njowelo :
hizo pembe zpasuane tu,hio itakuw nyota njema ya taifa,,Mungu hizi pembe zipasuane na zote zipasuke na kusambaratika
2025-10-12 04:13:27
1
user880661737454
🎉Binti Mwakasege 🎉 :
nchimbi vs samia lazima kieleweke❤️‍🔥❤️‍🔥nchimbi atapita kura za maoni bititi haamini hili wajumbe kazi mnayo
2025-08-12 00:19:58
1
user24maulid
MAURID SHABAN :
mm naomba leo niulize hiv ww kila siku unamuotaga samia tu
2025-08-10 21:06:28
1
jacqueline.marere
Jacqueline Marere :
Amen 🙏
2025-08-08 20:06:51
1
user6363399029442
SM GROUP LTD :
hatuombi tunatak tuanze upya
2025-08-18 17:02:20
1
rogathe.japheth
Rogathe Japheth :
wauwane Tu ila katiba tupate
2025-08-08 18:53:28
0
samia.the.boss.la
Samia the boss lady :
Mungu aku2mie ktk viwango vikuu sanaMungu nimwaminifu sana
2025-08-08 16:41:15
1
user43387821511948
Shir platnumz :
pembe kuu ndo nani..na pembe saidizi ndo nani..?
2025-08-09 07:16:07
0
wellahsuleiman
wellahsuleiman :
MAANA YA NABII NI KUOMBA ILI JAMBO BAYA LILILOKUSUDIWA LISITOKEE.
2025-08-09 09:39:14
0
mkare06
mkarefaraja :
Amen.
2025-08-08 15:21:43
1
gastonichilongan
gastonichilongani :
unabii hutimiza kusudi la MUNGU mfalme wa samalia alimdharau ELISHA nabii wa bwana matokeo yalipo onekana alitumwa mjumbe nayule mjumbe akadharau
2025-08-10 07:49:41
0
user93026137421612
user93026137421612 :
mimi naona Mkono wa Mungu, tuombe ni watanzania sion watanzania wa kumbe ,huh ni wakati wa Mungu Kuonyesha ukulele wake
2025-08-12 11:13:24
0
lameck.samweli
lameck samweli :
mnao tukana hakini mmekopesha wapi
2025-08-11 13:17:21
0
mukuly__
Faisal🇦🇪 :
maombi yanatakiwa
2025-08-11 08:25:48
0
romatermin
Roma Termini :
usikute huyu ni mdogo wa mfalme Zumaridi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-11 05:38:57
0
obedyyrncio
obedynciO :
Mungu akulinde unaye soma hii
2025-08-08 22:36:49
0
To see more videos from user @gospel_updates, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About