@modric.kucha: Karibu upendeze na kucha nzuri sana....nicheki 0781 372623 ▪︎Vinywaji ni Buree ▪︎Free WiFI ▪︎Free Bites ▪︎Na ofa zingine kibao ukija unakutana nazo. TUNABANDIKA KUCHA ZA AINA ZOTE,NA KUPAKA RANGI ZA AINA ZOTE ▪︎Na Kwa Wale ambao hawapendi kubandika kucha...ila wanataka kuwa na kucha ndefu au Fupi size ya kati Basi karibuni ▪︎Tunarefusha Kucha zako bila Kubandika, size yoyote ile unayoitaka wewe.na kukupaka Rangi ya Gel au Unga. #Tunarefushabulder ▪︎Kucha za kurefusha zinakuwa kama kucha zako halisi pia hizi Kucha ni Nzuri sana zinakufanya uweze hata kufua nguo au kufanya kazi ngumu bila kubanduka,Na zinakaa muda mrefu sana.. ▪︎Kupaka Rangi ya Gel,Mikono yote Miwili au Miguu yote Miwili ni elf 5,000/= ▪︎Kubandika Kucha na Kupaka Rangi ya Gel ni elf 7,000/= Mikono yote Miwili au Miguu yote Miwili. ▪︎Pia kuna Kubandika kucha na kupaka Rangi za Gel Kwa elf 10,000/= Mikono yote Miwili au Miguu yote Miwili. ▪︎Tunapaka Rangi za unga,,(Kucha za Unga) nk ▪︎TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM

MUDRIKI NAILS OFFFICIAL
MUDRIKI NAILS OFFFICIAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 08 August 2025 13:43:36 GMT
825
20
1
1

Music

Download

Comments

isaya.mlobezi
isaya mlobezi :
follow me
2025-08-09 13:47:45
0
To see more videos from user @modric.kucha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About