@mbtvkenya: 🗣️ Huwezi Kusalimika na Maneno ya Watu Hata ukifanya mema au mabaya, watu watasema. Siri ni kumridhisha Allah, si wanadamu. Kumbuka maneno ya Qur’an: ﴿وَاللَّهُ أَحَقُّ أَن تُخْشَوْهُ﴾ (At-Tawba: 13) "Na Mwenyezi Mungu ndiye anayestahiki zaidi kuogopwa.#fyp #foryou #viral #MBtvKenya #IslamicReminder #Uislamu