Hyoo choo unaeza calculate the depth ya shimo, ukijua speed ya mavi😂😂😂😂😂😂. #Experience
2025-08-29 09:00:24
1
ㅤً :
i was ok with the toilet lakini wdym haina ceeling 😂
2025-09-06 07:01:15
1
cate♥️♥️ :
mm nataka nko dudus
2025-08-19 09:10:35
1
Li_neshier👑⛎ :
the toilet looks scary
2025-08-09 05:14:16
7
Aisha Kwekwe :
mngerekebisha choo, alafu huko juu mzibe ingekua nzuri zaidi
2025-09-04 14:13:36
1
Lydia💜🦋 :
hapa ukiskia mafii unapatwa na stress😂😂unakumbuka penye utaenda kukunya unaskia kukazia mafi yenyewe hadi time yenye itaanza kukudunga ndio sasa ukimbie ukayadeposit ukitokanga😂
2025-08-10 13:52:35
13
PATOH 100 :
Hizo nyumba mbona juu ziko open neighbour anaezarukia juu aingie kwako
2025-08-10 18:18:43
2
MOMBASA RAHA :
hizo choo tu wakirekebisha imagini uko poa badget friendly 👌👌👌
2025-08-23 04:44:08
1
I'm tenio :
Mlango ni kali kushinda nyumba😮💨😂😂
2025-08-10 09:32:08
34
mummy mummy :
hizo Choo zii
2025-08-19 08:07:48
1
duke :
heri niishi kwa kichaka😂
2025-08-09 18:05:35
42
ododa junior :
hii pipeline ni 5500😂n
2025-08-19 09:57:13
1
Huz_rah Amazing products :
at least 🤣😂😂😂amekuwa honest🤣😂
2025-08-10 15:57:44
2
ayushali97 :
naomba namba zenu
2025-08-09 09:13:16
3
Cecy👑 :
hapa labda 30bob mwisho kabisa🤣🤣🤣🤣
2025-08-10 16:43:29
2
Ndimi Chara :
wacha tu niishi kwa kichaka kama nugu
2025-08-10 09:17:10
7
💸💫️ Domino Rax💫💸 :
Hutu tunyumba ni tubaya aki🥺😭
2025-08-10 11:43:14
9
Ashcozmo :
bomani ni wapi
2025-08-11 12:04:14
1
To see more videos from user @eurekahomesltd, please go to the Tikwm
homepage.