@sutibega_: Msisahau kununua chupa kutoka #sutibega Kila unavyozidi kukata tamaa katika safari yako ya kutafuta kumbuka uko hatua moja karibu zaidi na ushindi wako Labda umeshahangaika lakini Mungu bado hajakusahau. Jibu lake huja kwa wakati wake kamili, sio kwa haraka zetu. Usikubali kuanguka na kubaki chini inuka, piga hatua tena, na endelea kupigania ndoto zako kwa moyo wote! Hakika, siku moja, macho yatashuhudia miujiza na moyo utakumbuka kwamba haikuwa bure. Mungu atupe imani isiyoyumba, hekima ya kuchagua njia sahihi, busara ya kushinda vikwazo, na uvumilivu wa kusubiri majira ya baraka zetu. Kesho yetu nzuri inakuja, imejaa ushindi na matunda ya furaha!” 🙏
SUTIBEGA_
Region: TZ
Saturday 09 August 2025 14:01:29 GMT
Music
Download
Comments
Laurent samila :
kaka naomba tuonane km upo chuga
2025-08-09 17:39:47
1
husna 🥰🥰 :
na tege lako kwakuw upo na pes ni zuri
2025-10-02 22:05:02
0
ABDULPOKA :
Kikubwa nachokion kwako ni JITIHADA,BIDII,KUJITUMA
2025-08-14 07:55:54
4
m .engie :
kaka nilikuona Masai market
2025-10-02 18:40:28
0
busumba :
kak wengine mnafaid kwel maisha dah honger yenu
2025-10-02 16:11:54
0
It’s me🇹🇿 :
Nipigie kama natembea😇
2025-08-23 11:15:41
0
mrsommy70 :
💪ma brother
2025-08-10 09:51:30
1
benaco_furniture :
Big bro
2025-08-12 18:20:52
1
Matata Mfunami36 :
Baba hiii lazima nichukue chap
2025-08-16 15:03:35
0
swety21 :
kumbe ndoww mualifu wakupendeza wat nilikua sikujuag kaka😁😁
2025-08-16 11:13:36
0
mwanaisha :
subiraa hina malipo kk tumia wakati wako
2025-08-15 14:12:28
0
Stanley Maunda :
kula maisha kaka ume toka mbari nakufaham kabra ya suti bega
2025-08-13 11:55:24
0
nee_bega :
🤲🤲🤲🤲
2025-08-09 16:41:31
1
Mariam Said :
🥰❤🥰
2025-08-10 13:18:46
1
Being__Vivian ⛎ :
❤
2025-10-01 10:02:04
0
user4198707369283 :
🙏
2025-08-26 08:10:14
0
miroh :
😁
2025-08-20 08:03:22
0
muh dreadlocks :
🔥🔥💯
2025-08-17 12:52:00
0
Tammy :
🤗
2025-08-13 19:27:38
0
lenny_tronix :
🙏🙏🙏
2025-08-13 11:05:44
0
mum salha😘 :
shingap
2025-10-02 14:54:59
0
To see more videos from user @sutibega_, please go to the Tikwm
homepage.