@boat_party_zanzibar: Jua likizama, upepo wa bahari ukipiga taratibu… hakuna stress, hakuna haraka, just vibes tu! 🌅⛵ Zanzibar ukiwa kwenye maji ni paradise ya kweli – good music, good friends, na glass ya kinywaji mkononi 🍹✨ Life is better on a boat, especially when it’s a Zanzibar kinda night… Hapa ni furaha tu, hakuna kurudi ufukoni mapema!”35k per person book now#0625732418#zanzibar #kilimanjaro #vintagefashion #music #viraltiktok #warzone #fun#viraltiktok #killuazoldyck