@levince_official: LUO FESTIVAL 🔥🔥🔥 #massfollowing #fyp #foryou #foryoupage #mustwatch #makemefamous #millionviews #onthisday #princeindah #princeindahmusic #musajakadala #superlatinliveband #kadalaexperience #stagemaster #ajawatotheworld #ohanglamusic #ajawa #goviral
Levince👑💯
Region: KE
Saturday 09 August 2025 17:01:42 GMT
Music
Download
Comments
J🥰O💍E💦🎈Y💋♥️ 💫DE💦 queen :
7/7 hey kujeni twende Luo festival ❤️❤️❤️
2025-08-09 19:53:31
0
Mu thoni💎 :
hasira iko na wajaka hapa😂kunyweni sumu ju hii ni mkutano ya walemavu ngemi ndo mambo yote
2025-08-09 21:01:02
2
@🦋SALLY🦋🇰🇪World 🇹🇷 :
Kisii pia unda yenu tukuje jamani tumechoka kwenda za wenyewe 🥰😂😂
2025-08-09 21:34:49
6
parrot :
Ata mugithi ya dibul inabambaga kuliko hii
2025-08-09 19:20:50
16
fancii🥰 :
si Kwa ubaya mbna wote ni millennials 😂😂🤣😂hii festival ni ya wazee
2025-08-09 18:52:05
12
Sharon ayara :
kwani ni women festival ama
2025-08-09 19:18:52
2
shan kish :
♥️🤣🤣🤣kumbe ii kitu ilikuwa iboo hivi,,wajaka n show off hawajui kitu akhh
2025-08-09 20:35:24
1
ZelloChills :
I loove how Ngemi fest' flows just like wine!! hapa makelele ya chura ndio mob!!😂😂😂
2025-08-09 18:55:23
15
💫𝔸𝕫𝕦𝕞𝕞𝕪🌸💗 :
I like the way unajibu comments za ujinga🤣
2025-08-09 23:57:21
2
Miss Lucianoh 🫦❤️ :
Huku ukienda unarudi na iPhone 16😂mtu asinitusi please I'm single staki stress
2025-08-09 19:03:13
5
Julie :
Madem wamekaa poa 🥰🥰🥰🥰
2025-08-09 21:08:06
3
Njeri wa kabetu ♥ :
😂😂😂s mko huku na kikuyu wako mataha festival 😂😂naic country
2025-08-09 19:14:15
7
Mama Alicia :
waluhyia tukalie wapi😳😳nipeeni kiti nikae🤣
2025-08-09 19:00:15
4
Neish wendy :
Koso Mae ma last year😂
2025-08-09 20:22:58
1
LONGOMA :
ilikuwa kila mtu abebe ox tail
2025-08-09 19:40:19
1
tashafashion21andtravel :
😂wakilewa utaona vile watalilia mapenzi nawajua sana na nyimbo za indah
2025-08-09 18:01:20
16
Linus :
Hii ilifanyiwa hyping yote na ata haijafika nusu ya Kamba festival.
2025-08-09 19:37:13
0
CSEMI KITU SHOW} GADAFFI :
WAKIKUYU WATAKUJA NA MATUSI KWA comments section
2025-08-09 23:41:53
1
love this kind of arrangement 💪💪💪
2025-08-09 20:30:16
2
Brian oloo media :
malizeni muachie malaika band uwanja tunkuja na fujo😂😂😂
2025-08-09 18:18:47
11
Mercy Nyajuoga :
side ya vvip ndio wapi?
2025-08-09 21:31:34
1
Magogo alex :
hao wamama wanapendaa rahaa sana
2025-08-09 20:44:29
1
makadamo Deniso :
wow..hapo ni wapi..🥰🥰🥰🥰
2025-08-09 21:04:44
0
M.k Nate :
hii sasa ndo inaBamba
2025-08-09 19:47:37
1
kyre :
hio baridi nayo Mimi zii
2025-08-09 19:02:38
1
To see more videos from user @levince_official, please go to the Tikwm
homepage.