@kitchencabinetsquality: ✨ Kitchen Cabinets za Kisasa ✨ Boresha muonekano wa jiko lako kwa kitchen cabinets hizi za MDF zenye uimara na mvuto wa kipekee. Finishing ya kisasa yenye rangi ya mbao natural 🌿 Nafasi kubwa ya kuhifadhia vyombo na vifaa vya jikoni 🥘 Muundo wa kuvutia unaoongeza thamani ya nyumba yako 🏡 📞 Piga/SMS/WhatsApp: 0753 205 555 📍 Tunapatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam 🚚 Tunakufikia mikoa yote Tanzania 🇹🇿 #KitchenCabinets #JikoniYaKisasa #MDF #HomeDecor #DarEsSalaam #FurnitureTanzania
kitchencabinetsquality
Region: TZ
Sunday 10 August 2025 04:00:19 GMT
Music
Download
Comments
Lucy George :
tupe bei sh ngap kama ivyo?
2025-08-13 20:11:20
4
esther917 :
location
2025-08-21 10:06:45
0
Kiolwa Kitu :
Kazi nzuri
2025-08-16 15:56:54
0
sawia sonna :
Hayo makabati ya chini t na kutengeneza jiko kuachana najuu sh ngapi
2025-08-15 14:40:46
0
Amina Nambaya :
mashaa llah nimeipenda sana
2025-08-14 19:01:03
1
pili seleman :
mko wapi Mimi Tanga nataka tu milango drooo ya kabat tayar nishajenga za chini
2025-08-15 01:57:38
1
maryam juma mtalimbo :
mnapatikana mbezi yawapi dar
2025-08-15 05:18:16
0
ZakiaStan :
inshaallah nismaty Sana hatamimi nitajenga kwauwezo wa allah🤲🤲🤲🌹✌️
2025-09-09 09:26:31
0
neema :
bei gani kama ivyo
2025-08-14 22:49:36
1
mozaabdallah3 :
mko wapi
2025-10-02 19:01:04
0
raiyeabdallha :
mupo wap
2025-09-18 16:32:38
1
user5157042133225 fety :
nimependa
2025-08-14 10:24:55
0
Healthcoach Rozy :
hakuna kitu unasema kaa hutaki kuweka bei wazi
2025-08-20 03:30:45
0
Aisha :
niandae milioni ngapi
2025-08-14 12:33:48
0
Mom DAYANA :
mnapatikana wap
2025-08-12 19:43:20
0
emanuellyamuya5 :
gharama mpka hapo ni sh ngapi?
2025-08-15 12:19:38
0
user8224760955965 :
natafta fund kumbe mpo
2025-08-18 06:54:53
0
mandaryne cycy :
location
2025-10-12 22:25:05
0
user8224760955965 :
kama hivyo ni bei gan uje unitengenezee vikindu
2025-08-18 06:54:00
0
baby gee :
kuweka.milango na makabati ya juu bei gani
2025-08-14 09:27:43
0
Cutee moyra😍🦋 :
kuweka Makabati ya juu na milango kwa jiko lililojengewa shingp
2025-08-13 04:22:26
0
user9670528394058 :
kama ni hivyo na mimi nitaanza kuposti makabati ninayotengeneza
2025-08-18 09:44:20
1
Abdallah chambe :
kama hoyo bei gank
2026-04-12 19:11:27
0
Ramadhani :
garama vp kama ivy
2025-10-20 03:32:57
0
Merry89 :
kaz nzur sana nishingap kama hivo
2026-01-09 13:13:52
0
To see more videos from user @kitchencabinetsquality, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.