@mbukio_lyrcs: Mbosso pawa verse2 noma🙌🙌🔥 #Mbukio_lyrcs

𝗠𝗯𝘂𝗸𝗶𝗼_𝗟𝘆𝗿𝗰𝘀🫅
𝗠𝗯𝘂𝗸𝗶𝗼_𝗟𝘆𝗿𝗰𝘀🫅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 August 2025 09:15:14 GMT
662961
41137
498
1602

Music

Download

Comments

ukhty.saidah
Ukhty Saidah :
mbosso on it again ☺️💝❤️unajua bwana💝💝
2025-08-10 10:58:50
28
user9432765180487
john kamuga :
najua haiwahusu ira kenya amemfunga Morocco 😅😅
2025-08-10 14:49:51
135
naplouse.mukunzi
Naplouse MUKUNZI :
hizi behind Sean zinauwa nyimbo bro
2025-08-10 10:58:04
112
moonjuice_ranton5
Moonjuice Ranton :
shida mnasema hii verse kalii ila haingekua bora kuliko walichokieka
2025-08-10 12:55:34
88
mamatrue2
Mama True :
hii imeweza walai 🙌🏿🇰🇪❤️😩
2025-08-10 14:23:29
20
ladyphoenix011
♐️💲 :
Eeeh bora alivoitoaa khaa kulikua na mamabo ya senene tena 😂😂
2025-08-10 13:48:25
43
lapin_kangaroo
Lapin et Kangaroo :
hii nayo iliandikwa na lavalava asilimia 50 😂😂😂😂😂😂
2025-08-10 15:28:29
45
official.seif
💫MEDDY🌚 :
Yaani huyu akipigwa vizuri atasema mashairi anatoaga wap
2025-08-10 15:53:09
53
kitaaban8
kitaaban :
nadhan ulifuta hii ukaweka melody ya mond kwa heshima yake ila hii ni kali kuliko ya mondy
2025-08-10 17:35:28
40
gachdsumaili23
GACH-D SUM :
kwa wale wakulaikiana video 5 5 njoo ulike kwangu afu niandikie done nakupitia chapuuu chap
2025-08-10 17:42:21
5
eunnakarish
eunnakarish 👑🇺🇲 :
watanzania tupeeni huyu tuwapee wakisii lorry mbili
2025-08-12 18:36:33
11
bobby.ben
Bobby Ben :
Mbosso rudisha hii kwa remix
2025-08-10 21:11:34
15
user8820845704855
CollinsG- :
Mimi ata Mbosso akikohoa niko lazima niskize
2025-08-11 03:28:38
13
irenewaeni6
Irene :
Kwa maoni yangu hii part ndo Kali 🥰
2025-08-11 11:08:35
13
oscar_msafi
OSCAR MSAFI :
Hii ndio imekaa utam bna😂😂
2025-08-11 08:57:18
5
kilemandilima
Lucky :
waliokushauri utoe verse hii walijua utawachapa, aiseee
2025-08-10 17:53:23
13
othman.nguda
Othman Nguda :
ili Vers akafuta aisee kwangu mm Kwa sikio langu humu aliuwa
2025-08-10 17:17:40
8
khan14_tz
Official NJ® :
ila mboso khan una kitu
2025-08-11 11:18:19
7
maale048
𝕄𝕒𝕒𝕝𝕖❤📌 :
wa video tano
2025-08-10 19:49:26
6
diko_decors
Diko Decors :
mbosso hana tofauti na messi, yaan mziki anaufanya anavyotaka yeye yaan dah, GIFT FROM GOD
2025-08-10 12:31:37
11
mohamedimwinyijiti
MO CATERPILLAR 🦺 :
Apo Young lunya anapita frexh kwenye remix
2025-08-12 03:01:41
5
jessylyimo4
JESSY :
Nyimbo hii ya ss wanene bhas😂😂😂
2025-08-10 12:25:28
6
ximon_99
bahatijacob4 :
mbona hii vesi kali
2025-08-10 16:04:33
5
4th_generation0
Bomba Collection254 :
🔥🔥🔥 Fungua room 3 nairobi buda
2025-08-10 20:01:34
5
kimstaaoffficial042
@kimstaa official KE :
hiyo verse Bado ni nomàa🔥,but the other one is the hottest 🔥🔥🔥💯
2025-08-10 19:23:31
7
To see more videos from user @mbukio_lyrcs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About