Manyanda hapo nakubishia kwakua mimi jicho la tatu lilifunguka lenyewe tena sio mala moja mala nyingi napia nilisha kutana na majini sanaa napia niliwaona wachawi sanaaa mpka nikamua kuacha kuona maona ya rohoni kwa sababu nillikuq naona mambo ambayo sipaswi kuona napia nafsi ilikua inatoka ndani ya mwili inakaa kitandani usiku
2025-08-20 12:04:34
2
josephchristopher :
bro naomba uniunganishe na kiongozi wa free mason
2025-08-10 21:20:19
1
008 :
na kutoa akili timamu lazima uvute mabangi 😂😂😂
2025-08-24 10:31:41
1
Grace Michael :
nakukubari kaka natamani sana kua nanguvu za rohoni
2025-10-04 05:30:58
0
Baraka 🌟 :
kumbe ata ukilewa unaona mengi😂😂😂
2025-09-08 20:12:32
0
black star :
kakae kamakweli upendi tuwe maskini nipe mwongozo kaka niko siliaz
2025-09-13 06:18:42
0
Born star🎙🎧 :
mbona hiyo namna yakulifungua hamtupi au tuwe machizi sijakuelewa
2025-08-30 23:47:59
0
muradoxdon :
hizo frequency unazinyanyuaje
2025-09-05 17:29:06
0
PastoryPastory :
watu wenye nguvu za giza wana jicho la tatu!?
2025-08-11 13:52:24
1
Ndeezy :
Ila inahitaji ujasiri sana mm nilipitia kipind kigum mpaka linafunguka
2025-08-10 17:25:25
1
lody gabuu :
wao walijuaje na kama unaona kesho kwa nn usijue siku Yako ya kufa
2025-09-14 05:26:35
0
mo mmbaga's :
nipe mchongo bs nifanyeje tajiri
2025-08-23 17:51:24
0
🦋🦋May Mei🦋🦋♍️ :
Mh hatari kweli
2025-10-08 14:24:51
2
De suza mtu mbaya :
mi nikajua jicho la tatu ni sehemu ya haja kubwa?
2025-09-01 13:12:29
0
Suley Tz :
mzee nyoooka bas tukuelewe maarifa mara elimu
kama unhitaj watu tufanikiw nyoooka kk
unaonekana una madini San kk🫡
2025-09-15 08:50:09
1
sameeryusuf1 :
kweli kaka
2025-08-10 15:07:38
2
3333kiberiti :
nini nifanye ili kunyenya freekwenc
2025-09-16 20:21:01
1
karangabei :
kweli mchane 😂🤣🤑👌🏠👑
2025-09-09 18:48:04
1
wycliffe marango :
bro Mimi Niko kenya nizaidie na Mimi pia pro
2025-08-11 00:12:30
0
Scorpion 🦂 money :
nimeku helewa mr
2025-09-03 19:30:50
1
Ernestiss :
lazma tuwe na maisha maziri kupitiya wewe kaka, uzidi kutufundisha thu!, mimi nipo kongo ✡️🔯🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2025-08-21 11:22:20
1
Gwaja the don :
tunao kuelewa tunakuelewa manyanda African power
2025-08-14 13:36:00
1
Diegform :
We bro unajua sana
2025-08-13 16:54:26
1
POJJA BWOY 🌍🌍🌍 :
Safi Sana bro
2025-08-10 16:06:21
1
To see more videos from user @manyandaafricanpowerr, please go to the Tikwm
homepage.