@mubaraka_almakhzumiyy: #Shekhe_walid_Al_had🇹🇿🇹🇿🇹🇿

MUBARAKA ALMAKHZUMIYY👳
MUBARAKA ALMAKHZUMIYY👳
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 August 2025 16:30:45 GMT
250650
12993
121
761

Music

Download

Comments

maryam.abdalla58
Maryam001 :
Nampenda Sheikh Walid anavyo ongea Ma Shaa Allah... ALLAH amuhifadhi
2025-08-10 21:19:29
80
neemafelix4
Neema :
unawake wa 4 kati ya hawa 4 nani alikuvesha pete ya ndoa Sheikh
2025-08-11 09:21:31
3
user7361727832528
user7361727832528 :
mashaallah nampenda sn hy shekh
2025-08-10 18:54:35
32
mayah.issa
mayah issa :
mpole shekhe wetu
2025-08-10 20:08:40
17
mzeemwinyihassan
mzeemwinyihassan :
hii imetokea makundichi Zanzibar pia
2025-08-11 04:16:10
6
ww.aboubakari7
MBAGALA BOY OFFICIAL WELDER :
Shekh Walidy wallah nakupenda sana kwaajil ya Allah mungu akujalie ww utapatiae mawaidha na sisi wasikilizaji INSHALLAH
2025-08-11 20:46:46
10
brainex_02
Anwar :
Namtunzia mke wangu😳
2025-08-11 04:54:20
1
kinyonyo1
kinyonyo :
kwetu mtu huyo tunamwita jombeka
2025-08-10 19:44:18
5
princenssih
princenssih :
dini inasema ukimsitili muisilam nawe allha atakustili siku yakiama 😭
2025-08-12 04:57:52
3
hassanbana99
Hassani bn said :
aaaah shekh allah akuifadh tuendelee kunafaika
2025-08-11 07:01:07
16
midymiraji
Midy26 :
mashallah Mungu akuweke shegh
2025-08-10 23:34:47
3
abdul.saide7
Abdul Saide :
mashalla allah akubarik mwisho mwema
2025-08-11 06:43:55
4
user7216955492765
user7216955492765 :
ina mana apo upo na watt wako mungu akujali her ishaaallh
2025-08-13 11:47:15
1
qaasimhemedy
MTAITA🇹🇿✍️✍️✍️ :
Allah akuhifadhii shekh letu
2025-08-11 07:02:18
9
_kimwanyaaaaah
lipsdee_🥰♥️ :
Nyie me nampenda huyu sheikh😩
2025-09-27 07:31:57
1
mathiasmasolwa
mathiasmasolwa :
kaka wewe mtu mzuri sana Mungu akulinde.
2025-09-09 06:18:50
1
user3046706579410
da_mwaju_wa_athens :
Allah akujaalie shekh
2025-08-11 16:31:31
4
ukhtysk7
UKHTY SK PRODUCTS ♎️ :
Mim napenda sana kustiri wenzangu na kutowaongolea mabaya Yao, lakin mim sasa navoandamwa na mpaka maneno ya kusingiziwa 😀😀😀😀daaah nasemaga tu All-Hamdullilah, tena kuna muda mtu unamstiria jambo lake huwenda lingejulikana na wengine pengine angefukuzwa kazi au kusimamishwa kazi, inabidi ninyamaze sasa mim nikifany kakitu kadogo tu jitu laenda kubwata na kumpelekea maneno boss na anajionesha yeye ndo mbora kuliko wote
2025-08-12 09:50:30
6
user49627929125814
MOhamedi ngemba :
kabisa yani shee wangu Allah akulipe inshallah
2025-08-12 02:55:06
1
jirafinebeauty
Jira Fine Beauty :
Anaongeaga kipole 😍😄
2025-08-12 09:01:09
1
temuraaa
colleta temu :
amiin
2025-08-11 06:58:06
1
safiamohamed573
safiamohamed573 :
yaniii mtu Huwa anasema kitu ambachu Huwa kimemtokea mwenyewe
2025-08-11 09:12:47
1
modhatjumanne
abdoulmalik oud :
sasa mbn sheikh unataj location za maasi
2025-10-06 23:55:47
0
ozilmchina
Ozilmchina :
mtaalamu san
2025-08-17 05:21:49
0
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About