@mr_othman_tz: walimasheikhejaziajaziaa😂😂😂😂😂#mawaidhayenyemanufaa👌💯💯💯 #trendingvideo

MR.Othman_tz📢
MR.Othman_tz📢
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 10 August 2025 17:21:38 GMT
111391
7314
122
1045

Music

Download

Comments

habigirlchance
Mrs husseni 💞 :
uislamu rahaaa jamn😃🤣🤣
2026-08-18 13:19:30
3
unclederick0
unclederick0 :
SASA HPA MASHEE NDIPO MNAPO HARIBU NAKUFANYA UISLAMU UONEKANE WA OVYOO
2025-08-11 07:23:18
10
ahmed.muhammad498
Ahmed Muhammad :
jee haya ni mafundisho ya bwana mtume kwelii .
2025-08-11 15:56:09
1
user126158163575
user126158163575 :
ustadhi wacha uongo
2025-08-11 18:33:30
2
rashid.suleiman3
Rashid Suleiman :
cheni uongo kupitia mambo yamungu
2025-08-21 10:44:37
1
hirrybaesuleyman
Hirrybae s :
kufitinisha nidhambi kubwa hata kuliko kuua. ustadhi acha sifa za akina harun na karun
2025-08-11 06:11:20
5
kwangwaruboykaso
Kwangwaruu 🥰🥰 :
The best Ustadh 😂Mashaallah
2025-09-05 04:43:05
1
directorkhamso_123
Directorkhamso :
watumia uwongo kufurahisha watu na nafsi yako...je hayo nayo ni mafundisho ya Mtume saw....watumia kurekebisha kosa Allah akusamehe coz elimu huna
2025-08-12 06:53:37
5
user7512209325153
RAM JAN KHAN :
😃😃😃 Maulid na dhikri za hivyo hayapo kisheria naona tu Mnavyomshambulia sheikh 🤣🤣 sheikh Tupo sahihi anawazindua achen kupenda msivyovijua
2025-08-29 08:53:05
1
abuu.maahir19
Abuu Maahir Anas Bin Omar :
hivi ndivyo ambavyo watu wa Bid'ah wanachofanya katika misikiti Yao na kuongea na kufanya mambo yao yaliyo kinyume na Qur-aan na Sunnah! الله المستعان
2025-08-11 16:55:44
3
user8739751251747
IBNU DALAS :
Wew hauna cha kuongea allah akusamehe unadhalilisha alama za uislam kwaajili ya kuridhisha midomo ya watu ili wacheke kumbuka wew ni muhimili wa waisl
2025-08-11 14:44:25
3
use0654461248
KAMBARE WA NCHIKAVU🚛 :
🤣🤣🤣 umetisha sana piga soda apo apo ulipo
2025-08-11 07:30:33
0
user9170481113273
mahily :
kuchekesha na kufuraisha jaman tufurahishane
2025-08-28 08:21:47
2
sulevahamada
Suleva Hamada :
weighter mpe mbili 2 za baridi. . . . . .🍺. . . . . 🥃. . .
2025-09-29 10:02:37
2
mohamedanam0
MOHAMED ANAM :
ndio mukaambiwa maulidi ni bidaa na si dini kwa quran waweza kufanya upiuzi huo
2025-08-12 16:52:14
0
alhamzahsd
alhamzah :
Duuh nimecheka pekeang hapo kwenye dhikr
2025-08-13 14:16:09
0
flowers58395
FLOWERS 🌹 :
utan upo kweny din wala afany mzaa na kama unaelewa like apa
2025-08-13 11:11:35
4
masokolindo.ali4
Masokolindo Ali :
Allahu akbar
2025-08-26 09:06:02
1
kanaly.abdul0
Kanaly Abdul :
😃😃😃😃😃 Daaaaaah huyu sheikh nae kama shawishi tuuu 😃😃😃😃😃
2025-08-10 21:31:30
2
user595421187676
forever Zx :
dah she nae ndie
2025-08-13 05:35:05
1
triple98s
triple S :
shawishi sio powa 🤣🤣
2025-08-11 05:35:36
1
user7247691466091
Mrobo :
Mashallah
2026-08-19 05:23:12
0
zuhurarashid449
Mrs Mussah💍♥️ :
ALLAHU AKBAR☝️💕💕
2026-08-18 15:20:46
0
user0762864369seiphsaidi
it'smerry cute :
mungu atu jalie macho mwema tu 🤣🤣🤣
2025-08-10 19:56:28
0
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About