@bendylanbaduguza: https://youtu.be/dBT7Fi0xLXQ Faxât yote kwenye YouTube Uta Barikiwa sana 🙌

Ben Dylan Baduguza
Ben Dylan Baduguza
Open In TikTok:
Region: CD
Sunday 10 August 2025 17:36:43 GMT
164916
11639
264
431

Music

Download

Comments

user7666914336962
🌹 hellen I breez :
Nikiusikiliza huu wimbo nabaki kulia namis sana baba yangu😭😭
2025-09-30 11:50:31
23
samsonwilliumgmal
Sam sam🇹🇿🇰🇪 :
sas wa Tanzania 🇹🇿 wekuwa wayaundii 😢😢😢
2025-11-03 18:09:10
8
boazkirwaa
Boazkirwa :
Unakaa hivi machozi inanza kutoka bure
2025-10-04 05:06:24
15
wiliam2956
wiliam :
nyimbo ya bahati bukuku but huyu ameiludia vizur zaid imeniliza sana hii nyimbo
2025-11-07 15:48:31
7
user784218472652
robert Mugabe :
nimeipenda hadi moyoni
2025-10-06 19:32:45
8
hamidahsalim385
Hamidah Salim :
❤️❤️❤️daaah hiyo saut nzul sana
2025-10-04 07:42:40
10
favour19066
H.O.P.E😩❤️🫂🇨🇦 :
waraka uluoandikwa kiyume nawe let's your prayers destroy the committee in Jesus name keep praying brothers an sisters 🙏
2025-09-14 04:05:35
5
user27508068422583
Ñeema :
Mungu walinde watumishi wako na mabaya ya Dunia waoneshe uso wako wapate kuona kusudi lako ulio waitia katika kizazi hiki 😭
2025-10-04 10:17:36
8
user6029758600804
ezekieli bienvenu :
pole sana kaka unajuwa
2025-10-02 11:03:31
5
dorcas73862
Dorcas 😍❤ :
uende mbali baba
2026-02-11 09:04:49
1
chiba.m.daudi
chiba M Daudi🎄🎏⚽⚽ :
daaaah nabaki kuwakumbuka wote nilio wapoteza 😭😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻
2025-10-06 12:53:39
12
ariel.girl7
Arielle chichi💕🍁🍁🇰🇪🇨🇦💵 :
sijui mbona nikikutana na hii wimbo najikuta nalia😭😭😭😭😭
2025-11-03 21:30:28
7
saidath.juma3
Mrs white@💞💞 :
Kila nikisikia huu wimbo nalia mwenyewe jaman
2025-10-15 14:44:14
1
bayyolissh
Melissa🦋❤️ :
unajua sana kaka❤🔥
2025-11-09 09:35:46
1
bonie.idantz_hb1
Bonie_Idan298🧢💎 :
kaka unajua sana😥😥✌✌✌✌
2025-11-12 09:06:07
1
opertzoffical
J oper :
wimbo unaitwaj pleas
2025-10-03 13:52:31
6
sarahkaringa3
Sarah :
mbona nikikutana nahii nyimbo naliya sana 😭😭😭😭😭
2025-12-19 13:59:41
1
wendy.awino6
Wendy Awino :
amen
2026-01-20 18:59:58
1
cutegee89
cutegee :
kama unaamin bila mung wew si chocht sema amina
2025-10-28 10:15:30
4
useragustinomedadi
agustino medadi🇹🇿 :
kaimba nan hii nyimb
2025-10-05 18:30:22
2
anitaelishaa
anita❣️❣️ :
inanichoma sana hiyo nyimbo 😭
2025-10-10 10:27:53
3
tutijunior6
@tutijunior :
this one really touches my heart in deep😭😭😭🙏🙏😭
2025-10-06 08:41:30
1
thasiene4
senna :
mungu wangu bila wew mimi siwezi😭🙏
2025-10-11 22:09:12
2
user7429418249555
demi dieu :
titre svp
2025-10-12 10:56:24
2
dereal.castillo
Dereal Castillo 💫 :
you made me cry ma brada😭😭😭
2025-10-07 11:38:53
1
To see more videos from user @bendylanbaduguza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About