@ladenrashe:

laden rashe
laden rashe
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 11 August 2025 10:08:28 GMT
11878
369
191
61

Music

Download

Comments

nakupenda.yesu.masihi
MUYAHUDI WA TANZANIA 🇹🇿 :
MIMI NAPENDA KUONGEA UKWELI HAKUNA MUISLAMU HATA MMOJA DUNIANI ANAE JUA CHANZO CHAMUNGU ZAIDI YASISI WAKRISTO SOMENI BIBILIA NDIO MTAMJUA MUNGU NINANI NACHANZO CHAKE NIKIPI SIO HIYO QROAN INA UBABA ISHAJI TU JUU YAMUNGU NAWAISLAMU HAWAMJUI MUNGU KABISA NAWALA WANAE MUABUDU HAWAMJUI WAO WANA ABUDU WASICHO KIJUA
2025-08-11 15:32:11
20
eng_prosper
PROSPER MBUBA :
huyo mtoto aliye kwambia YESU ndie MUNGU kwani Nini kanifundisha Hadi Mimi kaongea ukweli good bless
2025-08-12 04:35:41
9
baraka_dreadlocks
Baraka Dreadlocks :
mwalim hautakiwi kushindwa waambie watoto Mungu katoka wapi na Yesu ilikuwaje kupatikana bila baba 😂😂😂
2025-08-11 10:31:23
6
profesor_071
Professor :
Yohane 1:1 Hapo mwanzo alikuwa Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Ngoja nielezee vizuri👇
2025-08-11 21:40:39
6
b.boy.carti
b boy Carti :
Watoto ni Malaika jamani🤣🤣🤣😂.
2025-08-11 13:14:38
6
letamaneno
Mr. Legal 💫 :
Leo ndo ostazi anajua kuwa hajui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-12 18:50:47
4
themedicine011
The genius 🥂 :
Wakristo si mnajionea,hata watoto wanajua Yesu ni Mungu. Huyo mtoto atakuwa mkristo kwa sababu maneno sio yake ni Yesu ndani yake.
2025-08-14 04:36:17
4
user4693212696161
Deus john :
Kuna mtoto mmoja kashashtukia mchezo yesu ndiye mngu Kwan vp,😂😂 sema tu ukwel shkh
2025-08-12 21:17:26
3
christianprince6690
Christian prince :
huyu mtoto ana akili sana,na akifika miaka hata 10 sijui kama kuna mtu atamshawishi kuhusu uislam tena.
2025-08-12 09:50:08
3
kisanza_mt
kisanza_MT :
JIBU SASA KATOKA WAPI 😂😂😂
2025-08-11 10:30:55
3
mathayo.charles6
Mathayo Charles :
dogo upo vizur yesu ni mungu
2025-08-15 10:18:27
3
user79928318280698
user79928318280698 :
anapotosha watoto
2025-08-12 03:24:55
3
marinmuri707
marin murih :
Huyo mwenye kupuliza Katoka wapi mpe soda.Siku izi ataa watoto wadogo wako na maswali ya kiuzima sana sana.
2025-08-11 16:59:03
3
jack.marine4
7 :
yesu ndo mungu mulize watoto wana akili kuliko iyo gesi ya mtwara
2025-08-11 17:58:52
3
pascal915
Pascal :
kama namuona shekhe anavyowaza "huyu mtoto ametumwa nin??""
2025-08-12 19:14:35
2
user6288193359194
munisi :
hapa mtakiri kua Yesu ni Mungu. tukiwaambia mnatubishia sasa semeni Yesu ni nani
2025-08-12 07:24:45
2
weshallsee
Reset The World :
Wafundishe watoto ukweli wafundishe dini ya kweli na dini ya kweli ni Africa Traditional Region (ATR). Achaneni na hizi story tulizoletewa na Wazungu na Waarabu hazina ukweli wowote. Back in Africa
2025-08-12 12:36:02
2
bruceemwasimba
bruceemwasimba :
mimi naamini watoto hawa watatoka kwenye giza nene na gereza la uisram kwajina la yesu kristo wachieni watoto wamtumikie kristo yesu
2025-08-16 05:23:48
2
user8730918184628
user8730918184628 :
da nimefurahi sana watoto wanauliza maswali yenye logic san
2025-08-11 11:03:28
2
fm7737
fm :
ukisema kitu mungu ujue kabisa hicho Ni kiwakilishi chake na yeye ana chanzo chake
2025-08-11 13:12:36
2
marinmuri707
marin murih :
Awa watoto werevu zaidi 😂🤣😅, Juu kama Hana baba ,
2025-08-11 16:57:59
2
sharubaty
Sharubati :
hawa ni zaidi ya watoto, Kuna za rehma za mwenyezi mungu zipo ndani ya hawa watoto khs Mungu.....Ili binadamu tufungue akili na mitazamo
2025-08-12 02:27:24
1
ezechisndambire8gmail.c
Jésus vivifie🙏 :
Mtoto ana kuambia yesu njo Mungu KWANI nini ??? Uyu haku jisemeya Mungu iko ndani yake
2025-08-12 12:35:31
1
bracknesaya
I'm MELANIN ⚫🟤 :
siku zinazo kuja huu UJINGA wa dini watu wata uepuka maana watu washa Anza kupata hakili
2025-08-12 10:28:20
1
To see more videos from user @ladenrashe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About