Hakuna hati miliki ya kiwanja Tanzania, ni hati ya kukodishwa ardhi. ndio maana zina kipindi maalum. 33, 66 na 99 years.
2025-08-12 04:56:29
22
sleifik hajjir :
Mm nipo Zanzibar mbona naanza kuofia kununua kiwanja bara
2025-08-12 07:24:00
18
Bill Makuka :
duh ila yote kwa yote mgogoro wa ardhi unatesa sana kuliko mgogoro wa mahaba 😭😭😭
2025-08-12 00:20:21
60
FungoGB :
Mimi nilinunua eneo Kinyerezi mwisho muuzaji kumbe alihonga kwa demu wake kiwanja
mapenzi yakaisha demu akaaanza ujenzi aliyeniuzia akanambia huyo demu kavamia eneo kwenda court kesi ipo mahakamani demu kauza eneo lote kwa mtu ndani ya mwezi kajenga ghorofa kesi imeendelea court
kwa sasa namiliki ghorofa bila kujenga
japo wamekata rufaaa court of appeal toka 2017 mpaka leo
2025-08-12 13:40:50
19
Gdence Auto Spare Parts :
story nzuri lakn hilo la mbunge alikuwa masomoni kwa miaka 20 ndio inanichanganyaaa
2025-08-12 04:14:02
15
dangodo :
kaka ivi watu wa ardhi wa serikalini si waweke mfumo wa picha unaokuwa unaonesha mmirik wa kiwanja
2025-08-12 13:14:59
7
josephndobandola :
Nawakubali sana ntaona kwa consultation
2025-08-12 05:36:16
5
Oman Oman :
Mimi mwenyewe ilisha nitokea kiwanja kiliuzwa alafu wakaniudhia na mimi siku napeleka matofari nakuta mtu amesha haza kujenga tukamtafuta musika akase ngoja niwabadilishie tukabadilisha namshukuru mungu alafu kule mvua panajaa maji kama jagwani😂😂 namshukuru mungu ningeniramba😂
2025-08-12 06:54:54
8
Restless ants mosesin :
U'r very very smart bro i wish to have money to support u'r
2025-08-11 18:13:20
8
Juma Machibya :
daaa kaka nimekukubali sana kwakuwa muungwana
2025-08-11 20:15:14
7
Love my self :
afu Kijana unaonekana umesomea sheria au sociology et?
2025-08-11 17:50:51
13
Ian :
Bro hekima yako ndo umekufikisha hapo
una bonge la hekima aise
2025-08-12 14:54:32
9
dontlook :
migogoro mingi ya arthi inaazia Kwa watumishi wa serekali, Kwa sababu wao wana information na mamlaka. serekali ikifanikiwa ku fully digitize the system makisa/uovu mengi ya kiubinadamu yata pungua.
2025-08-11 22:35:25
9
Adam Mj :
inaogopesha!!,,unaweza kua na Hati miliki lakini usimiliki,,dah!
2025-08-11 16:38:04
9
gracious :
land law uki2mia ardhii miaka 20 mfulklizo inakua halali yako
2025-08-12 15:10:00
2
dantte_bankx :
Sasa tufanye nini ili iyo mianyaa isiwepo. Wanyonge wengi na watu ambao awana sauti wana kandamizwa
Nashukuru Asubuhi ya leo nimeingiza kitu kikubwa sana aseee broski u great🫡🫡🫡
2025-08-12 04:43:13
4
sitta luge :
mh Mbunge Yuko masomoni nje kwa miaka 20? 🥺🥺,, ubunge ni kila baada ya miaka mi5,, ama alikua na kiwanja kabla hajawa Mbunge?
story ya kutengeneza
2025-08-13 10:37:11
2
Akida Salum :
Mimi nili nunua plot milioni2 akaniuzia mdogo akaja kaka yake anasema hapa hapamuusu nilimwaga mawe wameyatoa nashindwa cha kufanya mwenyekiti ana sema twende mahakaman lakini Mimi sipendi kes nimem ambia anibadiliehie akanipa sehem ndogo haina uwezo ya kujenga haya chimba kimoja sielewi nifanyaje eneo Ni lafamilia Yao walipo zaliwa
2025-08-13 09:57:19
1
Kadinali :
safi sana kaka umenipa somo hapa MUNGU akupe zaidi
2025-08-12 05:29:21
2
Makhtoum007 :
Namba ya kampuni yake naiyomba
2025-08-13 22:29:11
0
user3086111686932 :
nawapataje lapex
2025-08-12 10:49:27
1
To see more videos from user @lapex.properties, please go to the Tikwm
homepage.