Hapo alishaambiwa unaendesha gar its means feisal ataje umri wake yeye🤣
2025-08-12 02:58:19
1982
Elegant closet tz :
Jibu ni 5 coz abilia (wameshuka) maana yake (ametoa) kwaiyo kama alikuwa na vitu 20-10-5=5
2025-08-11 22:45:03
183
FEISAL SALUM :
Kaka swali nimepata umekata video mwisho 😂😂😂😂
2025-08-11 22:30:14
1479
Dr.Moyo_28 :
Umri wa dreva aupo coz hilo ni swali la fumbo abiria na umri how??
2025-08-11 20:51:52
77
Maganiko_19 :
dereva si ni yeye hajui umri wake😅😅😅
2025-08-11 20:10:13
297
heminurdini :
umri wako kaka ww ndio dereva
2025-08-13 16:50:38
8
PERFECT😱 :
ilo swali had mm nmesunya kwanz😂😂
2025-08-12 03:10:07
77
Jofray Juma :
Ali2kiwa ataje umri wake fei maana yeye ndo dreva
2025-08-13 20:44:55
6
revo toto la chawa🤗 :
Alie sema Mungu hakupi vyote ✊
Mitano tena baba 🙌fei hajui miaka yake 😁
2025-08-13 22:35:08
10
Derick drummer :
Nan tu like ane video 5
2025-08-12 06:55:36
7
fourdee :
Umri unaohitajika ni umri wa dereva anae endeaha gari, dereva mwenyewe ni FEY TOYO, ilitakiwa ataje Umri wake basi.
TULIOELEWA GONGA like HAPA
2025-08-11 23:27:13
27
christopher" :
Elewa swali unaendesha gari inamaana deleva niwewe taja umri wako
2025-08-12 04:27:10
8
Deusi mwinuka :
wapemba awaja wai kua na akili🤣🤣🤣
2025-08-12 04:10:19
9
Semkwacha Jr. :
UMRI WA DEREVA NI UMRI WA FEISAL.....
FEISAL NDIO AMEAMBIWA ANAENDESHA GARI 😅
2025-08-12 03:47:05
60
Xavery Thozo :
Hapo zingatia naneo "Unaendesha gari" yaaani taja umri wako wewe unaeendesha hilo gari.😃😃😄
2025-08-12 03:23:42
14
Zureifa Hussein :
kunakibwan na nkane alaf kuna feisali na msindo
2025-08-12 04:36:27
29
phonestore_moshi :
umri wa dereva si yeye mwenyewe ataje miaka yake
2025-08-12 04:34:36
107
Auson Audax :
Walimu mnakazi ngumu sana Mungu awape nguvu kama wanafunzi wenyewe ndo kama awa akina FEI 🤣🤣
#FEI, taja umri wako ushaambiwa wewe ndio Dereva🥺
2025-08-12 04:53:36
13
Senator :
UMRI WA DEREVA N UMRI WA ANAYE ULIZWA SWALI
2025-08-12 02:31:25
53
Khamis sqear :
ilo swali syo gum Ana maanisha ukiwa una endesha gar yaani deleva ndy ww mwenyewe umri wako ndy umri wa deleva mfano mm nina miaka 22 huo ndy umri wadeleva kaka iyo laki nitumie nime pata,
2025-08-11 23:26:44
23
yusuph funga² :
amekwambia ww unaendesha gar
2025-08-12 04:42:20
5
saed boiler :
umri wa dereva ni anaeulizwa swali ya kama hapo ni fey ndio dereva sindio anaendesha gari
2025-08-12 03:19:19
8
Sophie Zorro :
ukiona kuna - na - inabidi ujumlishe hapo. hapo 35
nisifokewe daktari wangu alisema nisifokewe🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
2025-08-13 01:39:22
12
patrickstar :
kwani kusema feisal salum ajui umri wake
2025-08-13 19:25:39
5
mode off :
swali jepesi kasema unaendesha gari yaani miaka yako
2025-08-12 05:35:44
14
To see more videos from user @pascalmsindo, please go to the Tikwm
homepage.