acha wanyooshwe tu we ushawahi ona wap bed sofa ya 150k🤣🤣🤣
2025-08-14 09:12:20
10
Happiee :
Jamani msinivunje moyo Nimenunua Juzi Kama hicho 😂😂😂🤣🤣🤣
2025-08-14 09:45:07
23
NYAU WA TILAMENTO🇹🇿 :
wenzio awafanyi ivyo kama unafanya vzur kaz zako zitaonekana tu sio mpka uzalilishe wenzio ushamba wa kazi
izo kazi watu tunafanya kwa uweredi mkubwa na siuzii mtandaoni nakaz nafanya kila siku
2025-08-13 14:25:32
8
kaleby hennry :
Tanzania Kuna machizi bwana hakili hamna kabisa
2025-08-26 04:54:36
1
XACOM :
ukitaka ufaidi hiki kitanda nunua mbao zako harafu msimamie fundi kila hatua💯
2025-08-12 15:05:25
3
Tanzania Revenue Authorities :
unapatikana wapi kijana mzuri🥰
2025-08-13 08:38:55
8
choro_brand :
wateja shida wajuaji
2025-08-19 10:02:00
1
NENGA FURNITURE :
Mwanangu we kura pesa zao za repair tu Akuna namna 😂😂😂
2025-08-13 19:11:22
8
bennyfurniture5 :
onyeaha wew unavyo tengeneza
2025-08-18 09:08:03
1
Ramadhani Ibrahim :
hapo wanamaneno yao utasikia Kwa Laki 4 na nusu "Kitanda bedsofa, godoro 6×10, duvet 1 shuka mbili na foronya mbili za mto na feni(Alitop) kama zawadi" Free delivery.. wanatuona sisi kama matako yao
2025-08-13 12:32:43
10
mama nay🇹🇿🇴🇲 :
alafu uwa kina umbua kwenye shuuli yetu Ile mnajikuta mpo chini nyie acha tu 🤣🤣
2025-08-12 12:16:53
5
Catherine kayombo :
mbona mnatuvunja moyo wengine tunaotak kununua 🤔
2025-08-14 10:26:18
3
wiseman :
mbona vitanda vya chuma vizur vipo 😂😂😂😂 au mimi ndo nimeshaanza kuzeeka maana napenda sana vya chuma
2025-08-14 16:58:15
3
🦋jeey117🦋❤ :
nyie mnaopend vitanda vya sofa vya laki 2 ndo wanawatengenezeaa ivyo bed sofa yenye mbao ngumu ni laki nne mpka 6
2025-08-14 06:08:05
6
I'm Swahiba :
hivo tupo wengi mm mwenyewe changu kipo hvo☺️🤣
2025-08-13 20:14:40
2
Husna Husna :
bora nimeona mapema kabla sijaagizia
2025-08-14 14:56:27
3
CDD's furniture. :
vitu za mailimbili na mipango hizo😂😂
2025-08-14 08:32:42
1
harawa furniture :
mbn yule anauza kitanda 150k ww unauza 220k
2025-08-13 10:08:12
4
Fafy ❤️ :
mna dhambi jmn siyo muda nimetoka ku scroll mtu anasema kitanda 190 cjw 😂😂😂 ko kumbe ndy kinakuja ivo enhe😂😂😂 akii nimeishiw pawa madako yenu watengez bedsofa😂😂😂
2025-08-15 08:19:12
1
Mr Zungu :
hivi vitandaa vibovyu saaana Tena ukiwa mtombaji ndio kwisha kabsaaa nishabadilisha kama vitatu saiz nawatza KUCHUKUA Cha Chuma tuuu!!
2025-08-14 09:49:21
1
Kim naly :
Acha2 mi niendee kupenda vitanda vya mbao
2025-08-14 08:24:27
2
Rama Say693 :
Una laki na ishirini unataka kitanda konki we hujiulizi tu
2025-08-12 19:43:00
1
soudy@666 :
haya majitanda ya kisenge sana asee nililinunua siku nahama et limelegea asee du
2025-08-12 14:22:20
1
Philosopher maleko :
unaponda watu wa vitanda vya masofa vipo imara kama vile furniture za mbao zipo ambazo mbao mbovu baada ya muda zinabungua kwaiyo usiwafokee watu wa m
2025-08-13 10:21:51
1
prettyGal❤️ :
its depend bhn mm nimennua hio bed sofa na nkafanyiwa delivery na iko na 3yrs now hakuna shida yyt hao wanakutan na wat ambao hawathamin biashara zao
2025-08-14 09:23:40
1
To see more videos from user @festocharukula_, please go to the Tikwm
homepage.