@al.akhi.naasir7: Replying to @user2606082554143 Tofaut ya MANII MADHII NA WADII #islamic_video

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 12 August 2025 19:04:31 GMT
74535
5805
287
739

Music

Download

Comments

abuwjuhaymah
Abuw Juhaymah :
Haya ndio matumizi sahihi ya Tiktok بارك الله فيك يا أخي الكريم
2025-08-12 20:29:53
214
aishamohammed4371
Islamic centre 🕋🕌 :
sijutii kuku follow shekh wangu mungu akuzidishie inshallah 🥰
2025-08-12 21:08:44
20
zay2zd
user20039205948450 :
Sheikh upewe ulinzi wakutosh,🌹🌹maana kwa elimu hii Allah akuzidishiy kila la kheri 🙏
2025-08-16 20:14:10
2
leylah....ibrah
ليلي ابراهيم 💫❤️ :
sub hana llah, Alhamdulillah hili somo tulikuw nalo wiki ilio isha ilikuw chngamot darasan mpk tunamalz daras skuelew 7bu aibu alhamdulillah 🥰
2025-08-13 19:11:07
5
princesssmunaaa
Bryante :
mbn hujibu swali langu sheheee????
2025-09-02 10:15:28
0
rashidadam3
Rashid Adam :
duuh kumbe manii sio najisi 😳😳 nimefahamu leo. kwa maana hiyo kwa wale wanao piga puchu/punyeto( najua ni dhambi) anaweza akajisafisha tuu na kushika udhu na akaswali bila hata kuoga janaba na ikaswih??
2025-08-13 03:52:59
6
diyyermalo_
diyyermalo :
mm niko na swali kaka yangy ...umesema kuw manii yanatoka baada ya tend la ndoa sas yakuwaj twahara?
2025-08-13 07:41:24
1
mishymichellehomm
mishymichellehomm :
Sielewi tsee sheikh nataka fimbo🤣🤣🤣
2025-08-14 12:09:18
1
kinggagarino4
King Gagarino :
je unapotokwa na madhii au wadii utawajibika kwenda kuoga janaba.
2025-08-13 07:50:01
8
user6579581855732
user6579581855732 :
SHEKH umesema MANII hutoka kw kuchupa na hutoka baada ya tendo la ndoa na unatakiwa kukoga JANABA, sasa je wanini unasema MANII ni TOHARA✅️?
2025-08-15 12:05:42
3
user9588760590498
user9588760590498 :
assalaam alaykum naomba unijib suala lang nauliza mwanamke anapokua ktk upevushaj wa yai mara nying hutokwa na kitu kama ute wa yai na mara nying hata ujisafishe namna gah halii hua haiish jee ni manii au wadhii tufafanulie kwa faida ya wote
2025-08-12 19:29:47
5
user44479902945293
MR.MUU🛠️ :
shekh ukilala usiku ukiamka umelowa hayo nn?
2025-08-13 05:43:03
1
sharfath9
Sharfath💜 :
mimi sijaelewa kwahiyo mtu anaweza kuswali na nguo yenye manii
2025-08-12 19:16:03
5
uptiebravo
Uptie Bravo :
sheikh nauliza ukiwa sijdani unaweze sema ALLAHUMA GHFIRLI..
2025-08-21 11:39:56
0
weshy.weshy6
weshy weshy :
shekhe samahan...kam cc tuko uku ugaibun mumeo yuko mbali afu kuna siku unahisi hisia kali ama uongee na mumeo maongezi ya kuleta hisia afu uhisi kabisa hisia adi ujihisi unatokwa na vitu uku unajikaza...jaman mungu atusamehe umbali unashida...swali liko hapa shekhe je apo unapaswa kuoga ndo wendelee na swala zako ama...
2025-08-15 09:05:23
5
yksalha
saudath :
asalam alaykum sheikhe,minaswali mtu akitokwa na madhiii yapaswa kuoga janaba?
2025-10-17 13:08:05
0
aishaz242
Aishaz :
mm ninaswali shekhe mfano iyo madhii imekutoka ukishatoa iyo nguo unaeza swali ama paka uogeee?
2025-08-13 14:44:46
1
umubby
ummu hajrah :
Assalam Aleykum warahmatullah wabarakatu,yale maji ya kuteleza kama ute yanayotoka baada ya hedhi ni madhii au 🙏
2025-08-15 10:39:39
2
user32575315394128
mickey😘 :
mashalllh nmejifunza mengi kutok kwako, mungu ukuzdishie ilmu ulionayo inshallh
2025-10-01 22:38:10
2
zaylov4
Zaylove :
kwaiy ostaz mtuu mwenye wadii na wadhii anatakiwa kujitwaharisha kwakuoga janaba au kwakutia udhu tu....?
2025-08-27 13:18:13
1
husna.dullah6
husna dullah :
sijafaham kuhusu wadii
2025-08-13 03:23:00
3
husseinmatiwili
husseinmatiwili :
manii hayatoki bila madhii kutoka
2025-08-14 14:08:19
3
333rsd
rashadrashid3 :
sasa kipi sheikh kitanilazimu kuoga na kipi kitanitaka kushika udhu tu???
2025-08-14 14:32:56
1
fatumaswaleh285
Fatuma Swaleh :
Nina maswali 1.je mwanamke pia hutokwa na na manii 2.je yapaswa kuoga josho ukitokwa na madhii au wadii
2025-08-12 19:26:02
3
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About