@jeasonmovies: Shamshera – Hadithi ya Ushujaa na Uhuru Katika zama za ukoloni wa Waingereza, kabila la Khameran linateswa na kunyimwa uhuru. Kiongozi wao Shamshera anauawa kwa kupigania watu wake… lakini miaka baadaye, kijana wake Balli anainuka kupigana vita ile ile dhidi ya maadui hatari zaidi na usaliti wa kutisha. ⚔️ Mapambano makali ❤️ Mapenzi yenye maumivu na matumaini 🎯 Ujasiri wa kupigania kilicho chako 💿 HD Full Quality — Usipitwe na filamu hii ya action ya kihindi yenye msisimko wa hali ya juu! 📩 DM Sasa – Movie inakufikia popote ulipo! #action #fyp #shamsher #jeason_movies🎬🍿 #kdramas #movies2025 #indian #moviempya #movie