@dr.jessy09: Mtoto kulia kupita kiasi#foryou #foryoupage #pregnanttiktok

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 13 August 2025 16:03:15 GMT
135256
3946
204
781

Music

Download

Comments

van_dizo2017
Fred van~dizzo :
Je Nikimpa Baby Gripe water??
2025-08-13 16:36:03
7
gmsangi4
G msangi :
nachukiaga babaake anakoromatu napambana pekeangu wakati tulishirikiana kumpata 😏
2025-08-15 05:57:35
11
fatumamvungi9
Fetty❤️ :
doctor mimi mtoto wangu ana mafua tangu amezaliwa na usiku analia sana nifanyeje?
2025-08-14 18:28:27
0
mamally92
Mam_Ally :
Dokta naona umemuelezea mtoto wngu tu apo ikifiia saa kumi na mbili tu mpk kesho iyoo kujikunja sura kuiva😂juzi nilimpeleka mpk hocpitali saa kumi na moja alfajiri nilijua kavunjika mwili🤣
2025-08-14 09:13:45
3
victor..vem
VICTOR :
Dr samahani mwanangu ana wiki 3 ila anashida ya tumbo maan akinyonya tu tumbo linaunguruma na pia inafatana na kutita wakati huohuo
2025-09-12 11:47:46
2
nicolebitendelo1
Binty 🥰🥰 :
Mimi mtoto wangu wa1 ndo alinikomesha ila saivi kawa mpole 🙏🙏
2025-08-13 16:32:31
4
brionmom36
BRIKA$mom :
ndio wananambia hapa niende kijijin kwao nikachimbiwe dawa
2025-08-13 17:45:39
1
sophiana125
mom rayan 💖💝💖👦 :
jmn alafu n usiku namskia mtoto wa jiran natamn nitike nimpelekee mafuta ya mwamposa analia mpaka
2025-08-13 16:49:23
1
aryreth01
Aryreth21 :
doctor mm mtoto wangu anakoroma jmn ni kama ana mafua ila hata akipiga chafya hayatoki tumejaribu kumpa dawa lkn hamna kitu anapata tabu kuhema
2025-08-24 14:12:13
4
user3851642939213
user3851642939213 :
huyu ni wang kabsaaa na nko na 4 week sasa mpk miezi mitatu mbn kazi ipo
2025-08-13 18:34:46
3
fety.salumu
Fety salumu :
Shukran
2025-08-13 21:15:49
0
jackiesamson2016
Jackline Samson :
Npo nje ya mada kidogo dada naomba kujua utrasound inaesabu vp mm umri nnaojua wa ujauzito wang na utrasound ni tofauti
2025-08-13 16:23:47
0
jenifer.chriss5
accessories mastertz :
Me nimechanganyikiwa muda huu tangu saa 7 nimesimama nabembeleza
2025-10-20 00:57:09
1
hawakimoto3
princess irray :
ilinikitu hii sina hamu ☝️😄alikuwa analia mpaka mi mwenyewe nalia😄
2025-08-14 05:14:58
1
user1882903045688
user1882903045688 :
ndy kamelala hapa saa kumi na Moja hii...tumemaliza mkesha sasa..loh
2025-08-25 02:45:48
1
pasikrrj9so
lucy :
dokta mwanangu anawiki moja ametoka viupele vingi vidogovidogo kama vina maj kwa ndan mwili mzima shida inaweza kuwa nn
2025-08-14 14:58:49
1
doublejbitesandcake
Double J Bite's & Cake :
hapo umenena mwanang Alikua Vinzr tu Mwenz wa 1 wa2 nakesha tu na analala hyo saa11 😭
2025-08-16 14:56:26
2
liry03_
Rabista :
doctor mkewangu ukajifungua kwa uperesheni je ni kwa muda Gani naweza kukutana nae tena
2025-08-14 17:29:41
1
itshappynesstime
Happyness 👌 :
Mtumee miez mitatu mi si ntkufa mana hapa nshachoka🥺
2025-08-14 15:05:34
1
light44213
light💕💕 :
nilikua najiuliza nimepata jibu sasa😁
2025-08-18 11:04:40
1
user57286166656726
Juliana mkumba@ :
kweli kabisa dada yaan vinasumbua sana asante kwa kutuelimisha maana vinapewa mizizi mapema sana
2025-08-13 16:19:50
1
user31581611411138
user31581611411138 :
ukiwa mke wang spati shida
2025-08-13 17:39:05
1
malkialakefood
Malkia.Lakefood :
beautiful🥰
2025-08-13 17:10:28
1
cute.vee93
cute vee :
ahsante dr maana usiku silali eti nimekuwa mlinzi
2025-08-13 17:09:51
1
user3391496062613
joycekigodi :
doctor siwezi kutembea tako moja linaniuma inapeleka maumivu makali sana ya mguu mimba miezi7 nifanyeje
2025-08-16 19:26:09
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About