huu wimbo umenibariki kwakwel ila nimetafuta audio siioni
2025-08-31 04:12:13
5
🔥Evangelist Joseph Mnimbo🔥 :
Mshana.....Mshana....Mshana Ubarikiwe sana sana hakika wimbo huu ni 🔥🔥🔥
2025-09-12 13:16:25
1
Bion Parament :
broo tunabarikiwa sana na kazi yakoo don't give up bro wengine tunafunguliwa ,tunapita na kushinda changamoto kwa namna Munguu anakutumia na mpenda sanaa Mungu wakoo katuvusha semu nyingi kakaa
2025-08-14 09:52:00
9
Fey Sanga :
Asifiwe mwokozi Ohhhhhh Haleluya
2025-08-21 21:34:51
3
Mwandima :
Mshana sijuhi kwa nini nimewaza iv hila ndivyo nilivyo waza HUDUMA YAKO KUNA WAKATI INA TUSOGEZA SANA MBELE ZA MUNGU HATA KAMA KUNA MOMENT KUNAPITIA HILA HUDUMA YAKO INA FANYIKA BARAKA SANA KWETU🔥😭🙏.
2025-08-15 09:27:31
5
zak G60 :
mungu akitie nguvu kaka kazi yako sio bule niko kuomba saa hii kwasababu ya kuusikia huu wimbo mungu akubaliki
2025-09-27 21:07:25
2
Gobison Kihoza :
Ameen lisifiwe kabiri usifiwe msalaba v barikiwa sana Bwana mdogo
2025-08-19 11:49:41
3
doreen :
the voice of peter mshana,hii sauti inaita imaita uwepo wa roho mtakatifu🥰🥰
2025-08-16 16:41:12
5
Joyce :
nimejikuta naria tu 😭😭
2025-09-23 18:00:35
2
@ kwambo( P .A wa Omochokoro :
ooh yes Jehovah shalom you are high lifted 🙏🙏🙏🙏🙏 Amen
2025-09-27 21:32:04
1
madame G😘 :
amen
2025-10-01 08:13:03
1
Michael Jeremy molel :
Amen
2025-10-05 00:10:29
1
saudaty ♥️🥰 :
Amen
2025-09-13 01:20:53
1
user3538549725081 :
amen 🙏🙏🙏🙏
2025-09-29 17:47:42
1
user5025590475755 :
usifiwe mwokoz@@@
2025-08-22 18:42:22
2
mshanalady :
barikiwaaa ani ukweliii najivuniaaa wewe I feel like nimewezaaa
2025-09-27 18:23:24
1
To see more videos from user @petermshana_minister, please go to the Tikwm
homepage.