@machinga__electronics: Kuna vitu siyo vya kuvumilia. Hawa Wapuuzi wanajifanya ni maaskari wanakamata boda kwa nguvu na kuwalipisha pesa. #foryoupage #bodaboda #viral #fyp #viraltiktok

Machinga__electronics
Machinga__electronics
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 August 2025 09:57:59 GMT
379394
7183
842
135

Music

Download

Comments

user6197027911027
user6197027911027 :
huyo si abdul nyungu yupo mombasa😂
2025-09-10 07:34:02
19
jawadu192og
jawadu192 :
harafu huyu jamaa yuko pale Mombasa anaitwa abduli ni mkorofi sana
2025-09-26 11:02:50
12
whiteheart0930
JKZ ✨️🌼 :
Niliwahi kumfumua mmoja pale kongo yani nimesimama anafika anachomoa funguo yohh alikuja kuonyesha kitambulisho et polic jamii namuuliza unahusika vp na pikipik nisiseme sana sahiv kibogoyo manina zake
2025-08-15 08:01:22
5
ramso.house
ramso house :
Sasa wewe unachukua video baada ya kusaidia utaweza kweli hiyo October 😂😂
2025-09-26 10:40:48
67
mohamed.hamdan09
Mohamed Hamdan :
wale wa mombasa tujuane🤣
2025-09-24 14:38:00
7
nadi.boy78
Nadi boy :
Yani awa jamaa wanasubua sana ila sku IPO tutawanyoosha hii tabia IPO kariakoo
2025-09-29 07:36:58
1
userv4r8w37y8v
user47813987739 :
boda apigwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-02-18 16:43:04
1
yonermramba
Yoner Mramba :
angekuwaa chuga siku nyingi wazee wa ngarenaro washamfiraa✌✌
2025-09-11 20:37:02
48
finishermedia_1
finisher tv :
vijana washaanza kazi hawacheki na wowote😂
2025-10-29 04:28:59
1
user7978784069128
George :
ndio haya mambo yakukemea viongozi wa mkoa alafu wako wengi hata machinga hapa wapo
2025-08-15 07:55:47
1
marazonetv
MANYWELE TV :
mujipange tumufile mapema
2025-09-11 08:07:54
5
kimwanytabata
raisi Tabat :
ambae apendezew na iki kitu bofya ap
2025-10-24 08:35:08
20
king.d811
hassani :
huyu siyo Askari ni msenge mmoja pale mombasa ndo huwa anapewa kazi na askari .
2025-10-06 12:21:44
0
songea77
abdurahmani :
huyo uweni msimpeleke police sababu police wanamjua mpelekeni kwa malaika
2025-08-15 07:21:14
16
saidmdoe7
Mdoe jr7 :
Hawa Jamaa Mm Mwenyewe Huwaga Cwaelew kabisa Ila Ipo cku tu
2025-09-28 04:49:06
0
simba_meena
SIMBA_MEENA :
Ata ku record nikusaidy pia
2025-09-27 17:39:39
1
directordin2
directordin :
😃😄 simkubali hata robo
2025-09-19 23:55:10
0
yungaboyplumbing
yunga boy plumbing :
hata kama ni askal aje kwa hekima syo hivo
2025-09-27 18:47:46
1
saraphinasilvest3
Saraphina Silvester :
natamani siku Moja nisikie wamempiga
2025-09-28 17:11:03
0
mastersam57
Master Sam :
mwambieni akija kuiiona EUM 648 akiishobokea tu atakutana tena na familia yake mbinguni
2025-09-26 17:20:12
1
user5153706079095
naima seif :
si mumvamie mnaogopa nini
2025-09-27 09:52:46
0
mbokomu.mtukazi
Mbokomu mtukazi :
inamiza nyenye anajua bei ya pikipki
2025-10-27 10:20:36
1
baba.b721
BABA B :
hii Mombasa jamaa chawa huyu
2025-10-11 07:26:08
0
davoo137
Davoo :
Ajeee chuqaa
2025-10-01 08:38:50
1
To see more videos from user @machinga__electronics, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About