@shabibyline: SINGIDA MPEWE NINI TENA? Tazama picha hizi mjongeo zikionesha madhari ya mabasi yetu ya kisasa kabisa yenye hadhi ya daraja la juu (VVIP) ambayo yatakua yakifanya safari zake kutoka Dar kwenda Singida na kutoka Singida kwenda Dar kila sikuu saa 12 jioni (18:00HRS) kwa Tsh 48,000/= Tu,unasubiri nini? Huduma za ndani ya basi💫 *Free WiFi *Private Tab (runinga kila siti *Choo ndani (Washroom) *Full Ac (kiyoyozi) Usisahau kukata tiketi ya safari yako kupitia tovuti yetu www.shabiby.co.tz (Link ipo katika Bio) LIVE ROYAL 🌍 TRAVEL ROYAL #ShabibyDigital #LiveRoyalTravelRoyal

shabibyline
shabibyline
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 14 August 2025 15:42:59 GMT
127113
3826
499
158

Music

Download

Comments

yuslah.vicent
Yuslah Vicent :
wana singida embu tujuane kwa ku like apa
2025-08-15 09:35:22
91
lathms2
Lath :
Mm na ABC mkataba wetu umeisha😂😂😂
2025-08-14 21:42:11
59
careen742
careen Richard 🥰 :
na singida mbeya yaje jmn nimechoka kupanda turu best mm jmn😆😆
2025-08-15 06:54:51
16
ezra.yona
Ezra Yona :
waooooo mnaanza lini safari ni booking ticket
2025-08-16 07:42:32
0
youngmomstore
youngmomstore :
ABC nilikupenda ila Mungu kakupenda zaidi😃niende nyumbani na VIP sasa nikanywe magae mie
2025-08-15 07:49:32
17
husna0044
🧿🌸husna 🍎 :
singida mbeya singida mpanda zinahitajika tunateseka sana
2025-08-14 21:12:21
7
omar285506
@Omar285506 :
Singida to Nairobi tunataka pia
2025-08-16 18:00:38
3
user1173877801565
farida kisuda :
Abc naomba mkataba wetu uishe kwa aman tu
2025-08-15 05:47:22
5
aminakassim638
Amina Kassim :
nauli sh.ngap jamani
2026-04-16 17:15:46
0
raymond.joackim.m
Raymond Joackim Mosi Mimbi :
safii,safari za usiku zipo??
2025-08-15 17:14:29
2
ireneabely
Irene🦋💕 :
Ya usiku ipo toka dar to singida, ni VVIP???! Na bei vip
2025-08-14 20:51:41
3
nataliasamuel826
Aaliyah gone :
mlete na singida mbeya jaman. mana kuna turu best hiyo ukiingia ndani ni kama gari ya wambulu na wataturuu ukiingia ndani usipotapika shukuru mungu
2025-08-15 05:27:12
4
zennah614
Zennah :
nauli bei gani ?tusiache mbachao 😂😂😂
2025-08-15 10:26:59
1
cornel.aloyce
CONDAD :
za night zipo
2025-08-14 19:44:48
1
emanuelmathias18
Emanuel Mathias :
Tafadhali msije mkaweka wanyaturu watuhudumie Bas ni nzuri sana ila wataliharibu jina na kampuni mapemaaaaa wekeni kabila lingine sisi wanyaturu hapan
2025-08-15 11:48:46
4
mrsramsoo2
aminasaidy559 :
naenda singida nataka nipande shabiby hakiamungu nakuja
2025-08-15 04:40:42
4
kingumaria1
kingumaria :
aaaaa acheni bc utani namlivyokua na care na mteja 😍🙏
2025-08-15 10:30:09
2
shebby.master2
Shebby Master :
nauli bei gani...
2025-08-15 15:17:29
1
user15076721354971
maysara rajabu :
jaman nauli beigani mpaka dar ninasafari yakwenda dar ijuma hii
2025-08-14 19:19:22
3
user53139305693952
user53139305693952 :
mpo shekilango au wapi
2025-08-15 08:07:36
1
kindness0864
🇹🇿🇴🇲kindness💞 :
woooooo asanteni jmn kwa hiliii
2025-08-15 17:37:14
2
zakia.juma56
Zakia Juma :
waooooh!❤️❤️❤️❤️❤️❤️❣️
2025-08-15 08:00:53
1
user0766686946nyambi
Nyambi 🇹🇿 :
bei gani singida
2025-08-15 04:40:23
2
abuudardaalsunjitv
user4474422731487salumu sunji :
mashaallah ruti za uciku zipooooo
2025-08-15 10:31:27
1
user6974539912926
baby :
jaman nashukulu kwakuzileta😍
2025-08-15 13:53:57
1
To see more videos from user @shabibyline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About