@mbitubee: Before mwanze kusema ati ohh hiyo si chakula ya fundi ask yourself ..is the person eating the food happy...yessss so ugali ni nyinyi @Farmer's Choice #fundinabee #bluecolarboys #mbitubee #myfundi #coupledateideas #bluecolar #bluecolargirl #simplelunchideas

Mbitu Bee
Mbitu Bee
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 14 August 2025 16:49:16 GMT
341988
23011
1452
1115

Music

Download

Comments

zekky649
Guzish@ :
bibi yangu ni kujipaka migorogo na kuota jua nje ya gate kama mamba🤔🤔🤔🤔
2025-08-15 03:49:48
1149
nonnygathoni45
nonny :
na mjue sausages sio za mtu wa kuacha 200👏
2025-08-14 21:11:05
359
switch.man254
Switch Man254🇰🇪 :
me as the foreman:next week uamue Ni mapenzi site ama Ni kazi😂😂
2025-08-15 05:16:15
366
msafinaiboi
msafi~naiboi :
mafundi wengine wanaona mabibi zao kama matako😂
2025-08-15 03:55:25
782
kimelectrician
kim dan :
I wish nipate dem kama huyu
2025-08-14 21:27:29
54
alfred34509135
Alfred 3450 :
huyu jamaa anafanya kazi ngumu haina pesa,hamtawahi omoka ,i tell you that for free,tafta madaktari na ma engineer wachana na hawa vijana wa mjengo,utaparara ushangae
2025-08-17 03:47:53
3
reuben.gwan
Otieno. :
fore man: naona nakulipa pesa mingi. kesho usikuje kazi
2025-08-14 18:12:14
438
only_one_senior
senior :
wanawake mafeminist wanapita hii post na speed ya 350km/hr 😆😆 makaswende nyinyi
2025-08-16 05:05:55
66
cheptolomindet
k cheptolomindet :
nipate kama huyu sasa si nitatulia sasa🤣
2025-08-14 23:37:39
6
katestevens06
KATE'S CLOSET :
I'm here for ihhihihiiii
2025-08-19 17:20:52
1
tallgal333
dem wa eastlando :
kuna fala ingine l tried kumpelekea lunch kwa gari coz n dere WA squad ,na hapo ata Mia pekee hanipeangi,roho yangu iliacha kufanya kazi za msaada ,l just wanted love and to make him happy ,BT nongwe juzi imeniambia si pia hao n wanawake juu nimepata akitafutana na wamama kwa simu after amefunga kazi usiku,l had to let iyo chokora ya kayole na uko , mwanaume nugu kabisa
2025-08-14 21:38:44
16
benyboom6
MDZUKULU WA KIPEMBE🌴 :
Bibi yangu kazi nkutoa mkeka nje na kunyambaa tuuu
2025-08-15 07:26:56
24
annetremmy
Wanjiru :
As a professional hater 😩This is cute
2025-08-16 06:28:59
34
shirushii3
shiishiru3 :
tokeni hapa na mapenzi yenu ya takataka 😁😁😁
2025-08-15 22:42:44
5
enockmutai1230
Enock kiserian :
I will buy lunch for today number
2025-08-16 03:47:03
20
user8729585532118
kelvin w macharia :
hii imepita Ile ya petello na dee😅😅, tupatane obinna show
2025-08-14 18:17:30
467
user342190856
reggae addict :
wangu nikunichungulia nikienda hustler aningia kwa caretaker wadinyane
2025-08-15 04:28:22
43
waziri_t
Waziri Tee :
sisi mungu aliona atupatie tu shida tuwe tunalea tukiziita wife home?ati bora zinazaa😂😂😂
2025-08-16 19:59:24
0
dennoh302
@ Dennoh Nganga :
wanatoa wapy madem kama Hawa wallahi
2025-08-14 20:07:04
9
sirsymons
SirSymons 😎 :
Wangu kazi ni kuitisha pesa na jioni anangoja nimpikie, ati I need to be romantic. guys mniombee🥺
2025-08-15 05:55:24
33
1vin.ke
kə;vįŋ :
na foreman amenyamaza tu☹️🤣🤣
2025-08-15 02:52:59
96
scarde73
scarde :
kwn mimi nliangukia nn surely
2025-08-15 04:11:20
8
mi_ke41
kyalo😉 :
wangu namuachianga 50 asubui ikifika saa saba anakol Ati hana za Mbogq
2025-08-15 06:41:20
9
tessieeunida
Tessie :
Nishawai pelekea kijana ya mtu chakula nimepika Na pesa yangu all the way from Umoja one estate Mpaka Roysambu place alikua anafanya kazi Kama security guard... guess Nani aliachwa😂😂 acha Ni heal pole pole... congrats gal 🎉
2025-08-18 14:59:15
2
bettymasika_
Masika :
na bado atacheat😢 men men men.jow many times did I call you
2025-08-16 05:00:57
5
To see more videos from user @mbitubee, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About