@carlosxperience: Mimi nasema tu

Carlos xperience
Carlos xperience
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 14 August 2025 16:49:21 GMT
61811
9183
436
581

Music

Download

Comments

young.billionaire949
Young Billionaire :
kuna morio hupost graphs za forex 😅😅alafu jioni ananiomba chwani
2025-08-15 03:54:38
86
blackwadada_18
BLÄÇK WADÁDA18 :
na mbona hiyo Forex hakuna madem😅😅🔥
2025-08-14 17:33:30
155
mceee_tonje
mc_tonje :
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌 kwani anakupenda aje ? ati ni wakisii peke yake😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-08-15 11:25:22
0
itsbrian254
decobra :
mi sikufunzwa shule...na Jana nimetengeneza ka 130 dollars kaa nimekaa nyumbani tu...na wewe lazima ushinde mjengo ukiomba mungu akubariki😂😂😂😂
2025-08-15 08:35:17
31
aggrey.samuel4
Aggrey Samuel :
Sim2ambie ni forex gani 😂😂😂
2025-08-14 18:01:44
43
g.3.ms
🇯🇲J̣̌M.🇰🇪 :
typing and deleting 😂
2025-08-15 12:09:26
17
f25jz
Fab Allans :
walai sijai ona Dem anapiga Forex
2025-08-15 07:50:22
1
otialeh_me.1
OTIALEH💰 :
we juzi si umelia gava waki odibets 😂😂😂ati hiyo ndo job nategemea
2025-08-15 08:38:51
15
davihtmt
Dave :
Millineals mko na shida kweli
2025-08-17 14:10:46
0
elviz_mo
Elviz Mo :
biashara wakikuyu hawafanyi sifanyi😁
2025-08-15 08:22:50
3
299fxkenya
299 :
mnaact as if kila MTU ni comedians kama nyinyi everyone has their path ww chekesha watu na Sisi tukacheke na bank 😏😏
2025-08-14 20:32:57
6
alvinkara
alvinkara :
mbona hii forex hatujaona msichana ako na audi ata😂
2025-08-14 19:55:37
17
sonofafrica254
Son Of Africa :
Carlos umesema forex double lesson😂😂
2025-08-14 17:41:22
85
alayz4
alayzkim :
Gwachana na sisi😂😂😂
2025-08-14 17:33:50
121
brmu7th
BRIAN :
Mimi kitu najua hakuna mtu atakuja kukuonyesha vile utatoka block😂😂🤣
2025-08-15 08:29:54
6
samueletoo1392
Samuel Eto'o. :
mbona forex haina madem?
2025-08-14 20:48:49
13
sam__daddih
Sam Daddih :
Kesho utaskia Vava yako Vava yako 😂😂🤣🤣 .. na hiyo forex aina ma dem …?
2025-08-14 21:55:47
4
jamsisa
DoctorJamsisa :
guys just do your research,forex is real ,but ain't easy ,takes time to learn and experience the mkts ,mark you fx is the largest assets mkt globally trading 7.5 trillion dollars daily nyinyi ndo mafala hamuezi elewa
2025-08-16 05:55:14
0
huncho8sider
West_boy :
Hapo kwa wakisii hata kama mimi n mkisii hiyo ni ukweli mafala wanatoka ocha directly forex........ Finywa haga😂😂
2025-08-14 19:11:44
2
patoranking310
patoranking :
mboka legit ni ya Alicia kanini tu
2025-08-14 23:36:52
2
hassanonsarigo
hassanonsarigo kay🇦🇺 :
wakisii wako sawa wajaluo ni kufwata ruto na raila🤣🤣🤣mikono za sweater
2025-08-14 17:42:19
6
tonikimani2
Toni Kimani :
kama akuna mkikuyu mahali aina pesa😂😂
2025-08-15 05:04:20
16
debett_
Database :
Forex ni scam. Kwanza, wakenya ni wachoyo na story za biashara zinaleta doh, mtu ni kujinyamazia. Pili, hao watu wa forex wote hawa make doh from forex but through ma training ati toa 10-30k ni kushow vile utamake 10M na yeye hajaiwai make hio doh purely on forex. Hii kuflex kwa mtandao ni ju wako employed to advertise na marurupu ya club appearance. Lastly, chema chajiuza kibaya chajitembeza.
2025-08-15 07:28:43
5
benbezal
THEE OKIRIS :
forex is real me hufanya na kitu kama $50 sio hizo mamillions za hao majamaa but ma scammers ndio wengi sanaaa
2025-08-15 05:54:23
1
bivonsage
️ :
😂😂😂😂hapo Kwa wakisii boiz😂
2025-08-14 21:08:53
17
To see more videos from user @carlosxperience, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About