@shabibyline: TUPO FULL..!🚨 Safari yetu ya kwanza kutoka Singida kuelekea Dar es salaam kupitia Dodoma imeanza kwa mapokezi mazuri mno,Tafadhali msiache kutumia huduma zetu za usafiri. #Shabiby #ShabibyDigital #dar #Tanzania #Dodoma
KUMEKUCHA SINGIDA 🤣🤣🤣 WALE WANAORINGA SASA WATAPANDA MABASI YAO NA FAMILIA YAO
2025-08-15 10:25:10
7
Daughter Mshogola :
inafika kiomboi au inaishia mjini
2025-08-15 13:57:31
0
Nailah13/10 :
wanyaturu bhana haya ilo shangazi kaja la nn sasa
2025-08-15 14:13:36
4
Najma🎀 :
WiFi ipo
2025-08-15 14:10:43
0
DaN :
safi sana mmeanza vizuri sana yaani abiria wapo ila usafiri wa uhakika ndio ilikua hakuna ukikosa mabasi mawili yale pendwa basi unaena na jostano linatembea siku 1 na nusu au jmc masaa 26 kama mizigo vile 😁😁😁😁
2025-08-15 06:19:04
6
nanana :
tunataka n arusha singidaa
2025-08-15 04:47:31
5
Myahudi Jr Tz :
good
2025-08-15 04:13:23
0
Lily💞 :
mapokez sio mabaya❣️
2025-08-15 11:10:14
0
onesmojohnny Makori :
hiyo shangazi kaja hapo juuu Tana jamani🤣🤣
2025-08-15 08:48:08
0
emily :
vp singida mbeya
2025-08-15 19:26:19
2
David 👑 :
Shabiby apo mpo vizuri watu wame choka Na huduma hovyo za ABC ni muda wa huduma za huakika za Shabiby 🔥
2025-08-15 10:35:07
0
edyy Mahrouqy :
chombo yauhakika,,,
2025-08-15 10:22:40
0
Official Delvic# :
daah ilikuwa vibe sana yaan ni🥳
2025-08-15 10:32:16
0
Makoti_efx :
na Imani hao wote ambao hawajavaa he'd phone ni wanyaturu na wanyiramba🤣🤣🤣
2025-08-15 15:15:37
2
ibrah Trainer tz 🇹🇿🔥 :
hongereni sana mkuu gar ZENU zinahuduma nzur sana Kuna gar nyingy sana tumepanda lakn kwa upande wamgu mpo vzur sana 💪
2025-08-15 11:55:48
0
Yuslah Vicent :
kalibuni sanaa singida
2025-08-15 09:37:33
0
Ochuphotographer 📸 :
Mtapata abiria wengi mkiwa serious tofaut na magar yaliyozoeleka maana yalikua hayana upinzani mfano ester poor service
2025-08-15 12:43:52
0
Azzah Mpinga :
@nauli sh ngap
2025-08-15 07:03:04
0
minah muu :
niitieni salihina wew ! by by abc
2025-08-15 10:35:50
0
Being SUE🌸 :
Unyama
2025-08-15 10:15:20
0
a :
kituo cha mwisho mkifika dar ni wap
2025-08-14 20:50:34
0
mkukey_04 :
safari zinaanza saa ngapi ???
2025-08-15 06:57:47
0
khashim idaboojr :
mashine ya kazi 🔥🔥
2025-08-15 08:58:52
2
Cash Madam💙 :
na head phones unapewaa au🥰🥰
2025-08-15 07:59:49
0
Jumanne Ally :
Mpo vizuri.Congratulations
2025-08-15 05:29:21
0
To see more videos from user @shabibyline, please go to the Tikwm
homepage.