Am a Christian but Islamic teachings are the best.
2025-08-15 14:01:23
216
Radhia kirikiri :
😭😭😭😭😭😭😭😭ya Allah wajalie wamama zetu umri mrefu
2025-08-14 21:29:52
685
betty :
i want to be a muslim
2025-08-15 19:31:42
45
CHEPTOO🦋 :
how can I become a Muslim
2025-08-16 10:40:36
24
🦋M.M.G🦋 :
wenye hatuna wazazi tulilie corner gany jamani🥹😭😭😭😭
2025-08-15 14:49:44
228
Blessed one :
mimi ni mkirsto ila hii imenigusa moyo sana...mungu Azidi kukupa nguvu..uzidi kufundisha watu maneno haya yenye hekima.
2025-08-15 04:53:25
368
trizah :
yaani ni hundsome hadi akiliaa
2025-08-15 15:16:42
114
Regii(African queen)🇰🇪🇹🇯 :
I don't think my mum feel any pain 😏😏😏 ata nkufe sahii she can't feel anything,🥹🥹🥹 sijui nlikosea nany but Allah give me peace 🥹
2025-08-15 19:40:52
27
JUA YA KWAKO❣️❣️❣️❣️❣️ :
ata wa leo sijawai hamini kama huyu ndie mamangu pengine aliniokota l go through Alot kupitia huyo mumama
2025-08-15 15:22:06
27
The Redeemed :
Na wenye adui zao wakwanza kutoka wakiwa watoto ni Wamama wamesimama pande gani,Wenye hawajapata upendo wa mama wanafaa kuketi wapi,Wamama hawafanani wacha kutumia emotions kwa subject sensitive kama hii weeeee.
2025-08-15 21:37:06
12
Mamake Jayden :
kuna mama wabaguzi wanabagua,hawaeki watoto wote sawa,wengine tunachukiwa hadi na mama waliotuzaa,kudhulumiwa kwa kila hali,inauma
2025-08-16 11:47:13
50
💗darlia carol 💗 :
heri wewe unalia nikwajili ya upendo ambao mamako alikupa Kuna mm hapa nalia kwa Ile Hali mamangu ananipitisha😭😭
2025-08-16 14:00:59
20
madame G😘 :
kwakweli mimi pia mkrto ila kwahuyu sheyhe amenigusa sana
2025-08-15 15:19:44
45
winifrida :
Kabisa mm mwanangu anachangamoto ya kubeba mimba zinatoka sasa ivi mara milija imeziba ,yaani maumivu niliyo nayo mungu ndo anajua
2025-08-16 09:18:31
8
Hon.Julian Mueni (W/Rep)Macha :
Baba ni kwa macho mama ni kwa moyo 😭😭😭powerful
2025-08-15 17:01:59
76
@Tachoni bae🦋😘 :
Heri wale ambao wana mama zao😢😢mine went too early since I was only 20 months old💔🥺
2025-08-17 10:26:43
5
Soni ❤️ :
I wish ningekuwa na mama💔wangu alikufa nikiwa na 6yrs my our firstborn na 8yrs na our last brother 4 yrs 😭😭😭kimiujuza tupo twapambana but mama ulituacha mapema.
2025-08-16 01:54:10
12
maryam maryam :
nimepoteza mamangu siku sita simepita😭😭😭😭😭😭
2025-08-31 06:17:59
7
Elizabeth Ambuka :
Tulioachwa na mama tukiwa wachanga kujeni tukumbatiane hapa na likes 😔
nikweli kabisa naomben tuwaheshimu wazazi wetu wadau hata kama wanatukosea lakin linda kinywa chako kisitoe neno baya
2025-08-16 08:55:47
20
user5300266851795 :
Allah ampe rehema mama
2025-08-15 10:14:24
41
NYUKI_BEE254 🦋 💖 :
I think we are all cursed 🤬 not one can help my mother and daddy..wanaumia but nothing I can do...we are failures...we dot deserve to be life ...I feel tu nijitoe uai😏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sijawahi numulia my mother hata leso
2025-08-15 21:39:58
5
To see more videos from user @mstari_tv, please go to the Tikwm
homepage.