Allah (sw) aliende madada zetu inshaAllah . abdshir ya ukhtii😇🥰
2025-08-16 05:07:26
2
lady midnight 🖤🧑✈️ :
kwann msiseme na wanaume na wao hawajitunzi ni vile tu Mungu hajaweka alama ya kuwajua kama ni mabikra anakuja kukuoa unajua ni msafi kumbe kashabeba mikosi , laana na mauchafu mengine kutoka Kwa wanawake waliolala nao kabla ya kukuoa ww binti usikubali kuolewa na mwanaume aliyewahi kulala na mwanamke mwingine kabla yako kwasababu ww umejitunza huna mkosi hata mmoja yeye anakuja kukupa baada ya kukuoa .
2025-09-21 15:51:47
3
ammy :
Tupo Alhamdullilla 😊
2025-09-08 06:11:04
1
happiness🫠 :
na ukitaka kuacha acha bikra🤗
2025-09-29 12:35:52
0
isrash :
Wako wapi ? we mwenyewe umecheka unajua ukweli wote 🤣🤣
2025-08-15 14:03:36
8
saumu :
tupo sio nadhani tupo
2025-08-16 17:36:13
3
🌹💝🧕بنت أمينة 🇹🇿السليماني :
pale uliambiwa kuwa na subra ona sasa utaolewa😂🤣🤣ila bikra tupo insha'Allah subra jambo la herrni🥰🥰💯❤️