pale kwa ploti yetu kuna two kids walikua expert wa kuchora magari..we complained to a point wazazi walinitusi sana so after a month wakachora subaru mpya ya jirani..wazazi kuambiwa wakaanza midomo mingi as usuall two days later walikua washapelekwa court and had to pay 70k for a repaint...woiii
2025-08-15 12:20:20
452
Fai N :
The worst thing is defending your child while he/she can hear.Trust me one day you will hire a lawyer to defend them in court
2025-08-15 14:04:46
749
Solo one :
ukweli the world is cooked
2025-08-27 08:09:33
0
Eng@Kim :
i stand with Soja..
2025-08-15 12:25:27
606
George :
hufai kupiga mtoto wa wenyewe you just need to inform the parents
2025-08-15 14:41:15
106
karis :
soja good job weka number nikununulie super
2025-08-15 12:50:06
666
254challoh :
ukona bahati unafunziwa na soldier ingekua ni ulimwengu ungejuta😂😂😂
2025-08-15 12:45:25
1659
Mum Fay :
I understand why the previous guy aliacha mtoto akiliwa na siafu
2025-08-15 15:06:03
745
erika :
ufai kupiga mtoto wa mwenyewe lakini parents funzeni watoto discipline
2025-08-23 13:59:34
0
Corazon🦋🦋🦋 :
Mbona anamsomea mbele ya watoto?? Anafanya watoto wakue vichwa ngumu...
2025-08-15 13:11:44
727
user3461651633682 :
Can we do something good for this Soldier for doing good job....Erick Omondi Tengeza till NBR please...
2025-08-15 12:34:47
732
WATAKA :
mtoto mavi.... soja piga kabisa kwanza watoto wa single mom waga hawana adabu
2025-08-15 11:40:51
81
user7612003466392 :
ufai kupiga mtoto wa mtu
2025-08-15 13:20:36
87
Paul :
but huyu soja looks like a mother, and if she did it, she must has have done it out of love. si kumaanisha juu ni soja she's not a member of society, mama mjinga kuliko kimani ichungwa
2025-08-15 12:44:55
431
ELDORET HOUSE FINDER :
Legal Perspective: Kenyan Sheria on Corporal Punishment
Under Kenyan law, corporal punishment is prohibited in all settings, including homes, schools, and public spaces:
- Article 29 of the Constitution (2010) guarantees every person the right not to be subjected to violence, torture, or corporal punishment.
- The Children Act (2022) reinforces that every child has the right to protection from abuse, neglect, and all forms of violence.
- This means that even a gateman or caretaker has no legal right to physically discipline a child, regardless of the child’s behavior.
So legally, the gateman violated the child’s rights, and the parent (your neighbor) had every reason to be disappointed—even angry. The law expects such incidents to be reported to authorities or handled through proper channels, not through physical punishment
2025-08-15 15:49:14
58
Good vibes :
MIMI NIKO SIDE YA SOJA HAPA KUNA WATU WANALEA WATOTO VIBAYA
2025-08-15 13:02:50
229
Essybrown254♦️ :
Im a mom na hata mtu achape mtoi wangu na nijue alikuwa na mistake mm siwezi katetea nakaogezea mateke…ww mumama unalea vitoto vichwa ngumu unasomea aje mtu vikiwa apo…
2025-08-15 14:52:01
310
precious :
🤔and at the same time when the kids are in danger they blame you
2025-08-15 12:54:01
758
mckeena :
mistake or not, mbona upige mtoto wa mtu 🤔🤔🤔,ampeleke ndani for assault
2025-08-15 13:15:23
115
Kasmall :
huyu soldier akuja Saudi ndio ajue , nobody is allowed to discipline someone's kid....
2025-08-15 13:37:05
13
jose :
mzazi mjinga Kama mtoto wake😁😁
2025-08-15 16:05:22
92
Eve.... NyarGem.. :
Let's reason here: In case her precious kid passed through the gate agongwe na gari, couldn't she have blamed the soldier for not stopping him from getting out of the gate? Na mbona asomee soldier mbele ya watoto? Wamamaaa...Mmmmm🤔🤔🤔
2025-08-15 17:14:50
47
Tessylilian :
Mtu hafai kuguza mtoto wa mtu
2025-08-15 14:33:02
23
mama Neema :
time ya soldier ya ku shine imefika,,,,soja you are blessed
2025-08-15 13:41:41
151
opiyo keniso :
this soldier is very right but huyu mama ndo fala
2025-08-15 12:50:11
332
To see more videos from user @tribelessmedia, please go to the Tikwm
homepage.