@filbert_sangule: #tanzania🇹🇿 #fyp #kenyantiktok🇰🇪 #congolaise🇨🇩 #viral #viraltiktok #usa🇺🇸 #trend #congo #tiktokviral #trendingsong #ugandatiktok🇺🇬 #kinshasa🇨🇩 #tanzaniantiktok🇹🇿

Filbert Sangule
Filbert Sangule
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 15 August 2025 12:50:25 GMT
128799
8125
195
661

Music

Download

Comments

radhiasamatta1
Radhia samatta :
I'm Muslim ila my dad Christian ✝️na amefariki nikiskia gospel namkumbuka sana cause nyumbani zilipigwa sana nimekuwa nikiskiliza 🥺🥺🥺mungu akulaze mahala pepo baba angu nakupenda sana🥺🥺🥺
2025-09-23 19:12:12
57
bintisayuni44
bintisayuni44 :
Ayubu 13:21 Uondoe mkono wako usinilemee; Na utisho wako usinitie hofu.
2025-09-28 17:59:42
31
gele_tanzania2
gele_tanzania2 :
🥰🥰my fav song
2025-08-15 18:16:41
11
ney2mbo
I’mgrace 🤩 :
Hii nyimbo mungu alijua tunaitaji hii 😩🙏” kosa langu na zambi zangu ni nini” nambie uovu wangu nitubu 🥹🥹🔥
2025-09-24 07:03:58
17
prosperluvanda349
p :
hii nyimbo inanibariki sana🔥🔥🔥 ubarikiwe mwenye nayo Mungu akutunze
2026-01-24 09:43:22
2
misslulu300
lulukawago :
Mungu sikiliza moyo yangu nimechoka 😭😭🤲🙏
2025-09-22 22:05:50
21
mapallangyo
valleryhumphrey :
Kosa langu na dhambi zangu nini niambie uove wangu ni tubu mbona umeruhusu haya mabaya yanipate yaniumize moyonii 🥹🥹 12/2/2024 🕊️
2025-09-10 07:55:35
8
rosemarysimon0
Rosemary Simon :
moyo wangu umechokaaa sana
2026-02-04 07:38:44
0
kelvinluvindi
PRINTSPHERE AFRICA :
on such a time am going through hell this is a motivation 🙏🙏🙏😭
2025-09-30 17:34:38
3
user9917061723600
ACRAM 07 :
yani mm ni muslim lkn huu wimb unanifany napt amanii jmn
2025-10-24 05:35:22
0
shaloon84
shaloon :
uondoe mkono wako usinilemee na utisho wako kwangu usinitie hofu🙌🙌🙌
2025-08-15 13:03:00
12
preciouspaul018
preciouspaul🦋 :
😞Niko kwenye hard situation saa hii ila hii nyimbo inanibariki sana najikuta nakuwa imara zaidi
2025-09-22 18:37:50
13
abby70055
abby :
Kaka Filbert, sijui uliwaza nini ila ni MUNGU amekupa Neema hii.. huu wimbo unaniliza kila mara ila ni vyem kumuelewa MUNGU 😭😭... MUNGU Akubariki 🙏
2025-10-14 09:23:38
3
cute.love50523
cute love5052 ❤️ ❤️ :
mungu akutunze wewe kwajili yangu na utukufu wake🙏
2025-10-08 20:32:42
2
juma_lil_girl
juma_lil_girl :
Nyimbo inanikumbusha baba angu pumzika kwa Amani 💔
2026-03-17 22:39:29
0
naureenmale
Naureen Male :
kabla sijaenda job lazima nisikilize huu wimbo yan
2025-10-20 10:03:43
2
ms_queen032
ms_queen♌ :
hii nyimbo imenifanya niache kulalamika maana nimekuwa bila mama na baba toka mwaka 1995 ndipo nilikaa na kusema kumbe haya ni mapenzi yako Asante Mungu kwa kunipenda 😭
2025-09-27 18:49:31
1
iam_cherrie2
iam_cherrie2❤️💎 :
This song ❤🙌🔥
2026-01-20 09:15:42
1
officialmapuro
Official_Mapuro🫵🏾😎 :
Kaka humu ulitulia sana 🔥🔥🔥🙌
2025-10-01 16:12:21
3
stevensiafu
steven siafu :
Mungu azidi kukuinua kaka
2025-09-06 18:07:05
3
weinmodel
Hadijawein :
The song that running in my head now ❤
2025-09-26 03:54:11
2
furaha999
Happy❤️ :
Yaani huu wimbo 🔥🔥🔥
2025-09-12 20:46:44
2
mercycherono839
🦋 Noniot M 🖤 :
receive love from 🇰🇪
2025-10-20 14:52:28
1
prudensiambilinyi
Giovanna❤️ :
Kunawakati moyo ulicho atanafsi yangu ilichoka,,, kunawakati moyo ulichoka ata mwili wangu ulichoka,,, nikasema Mungu🥹🙌🏾
2025-08-15 14:11:52
2
ms_queen032
ms_queen♌ :
kila naposikiliza ni kulia tuh 😭
2025-09-27 18:50:20
1
To see more videos from user @filbert_sangule, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About