Kaka nime save hii video kwa ushahidi ili siku nikija nakuonesha kwanza video ndo nakupa project
2025-08-16 15:51:12
3
user7156376744470 :
weka sim namba
2025-10-15 19:21:32
1
abdull zanzbar :
hivi broo yumba ya vyumba 4 ukitaka kumwaga jamvi linakost shingp
2025-08-17 10:11:09
1
Ricky :
garama zinaanzia kwenye kulipia michoro
2025-08-15 18:16:52
2
memento amoris :
je 30M unawez jenga ghorofa
2025-08-16 00:31:53
1
Seni :
video hazifiki mwisho
2025-08-17 04:12:26
1
upendo mushi :
naomba namba yako
2025-09-16 16:57:37
1
Fally kidoba. :
watu wengi nawaambia ukiwa na M50/60 unajenga zile mini casa huwa wanabisha tena ukiwa mikoani huko, mawe mengi, kokoto unajenga bila wasi
2025-08-17 10:44:56
2
fatma :
namba yako ya simu
2025-08-16 13:05:25
1
Qs.Hubert :
kwaio unataka ma qs tusipate pesaa😂
2025-08-16 06:41:16
1
Mgissah :
150mil namaliza ghorofa??
2025-08-17 06:16:04
1
user1668005462522 :
mmmhhh
2025-09-30 17:37:40
0
sahara :
watie watu ujinga tu km wasiogop magorofa
2025-09-21 05:20:06
0
INGUZ :
elimu km hesabu ulikimbia baki kutafuta fedha tuu. tuajirini wanamahesabu.
2025-10-09 18:20:24
0
Daud Kyando :
broo na ndoto la kuwa na nyumba yenye gholofa lkn chin kuwe na vyumba vitatu kulala juu kuwe na vyumba vitatu tyuu kwa makadilio nataman juu upana uwe futi 12 kwa 24 nikadilie apo broo
2025-09-27 09:22:34
0
Fedson sanga :
wapiii hapo chief
2025-08-20 21:55:13
0
Matrizah :
😁😁😁
2025-08-16 11:12:15
2
rizzy :
🔥🔥🔥
2025-08-15 18:16:01
1
Tumaini electronics :
🥰🥰🥰
2025-08-19 04:35:49
0
To see more videos from user @ujenzisession, please go to the Tikwm
homepage.