@gcangel1: USIMUITE MTU BABA WA KIROHO

Apostle GC Angel
Apostle GC Angel
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 15 August 2025 17:18:34 GMT
87861
5866
486
497

Music

Download

Comments

apostledenismulokozi
Apostle Denis Mulokozi :
1 Wakorintho 4:15 [15]Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili. For though ye have ten thousand instructors in Christ, yet have ye not many fathers: for in Christ Jesus I have begotten you through the gospel. Maanake Hakuna Baba wa KIROHO ila ni Baba katika Neno la Mungu na Baba wa KIROHO ni Mungu
2025-08-15 20:00:06
82
mtawala.com
mtawala.com :
Hujui ulisemalo. Kwani Imani ni suala la mwilini?? imani ni kitu cha rohoni. Na kumbuka mtu ni Roho. Sio lazima ufundishe hata usivyovijua?
2025-08-16 00:09:45
10
apostle_msechu
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU :
EXACTLY MAN OF GOD..! EXACTLY
2025-08-16 07:04:56
21
kingspicha
KingDavid :
Watoto wa PT hii nayo watajifanya hawajaiona😁
2025-08-15 18:39:17
50
josewayesu7
Pastor Jose wa Yesu :
Kama haujui kaa chini ujifunze
2025-08-16 03:08:13
4
wellingtonewilly
Wellingtone Ayodi :
hii sasa ndio injili ya kweli. Tafadhali endelea kufundisha
2025-08-16 05:24:43
15
dorotheagabriel1
DOROTHY GABRIEL :
KABISA.HAKUNA BABA WALA MAMA WA KIROHO. NILIPATA MAMA WA KIROHO NIKAONYESHWA YANAYOENDELEA KWA HUYO MAMA WA KIROHO 🤣🤣🤣🤣 NILIOGOPA SANA
2025-08-15 18:12:17
7
realmadridfootball008
OLUWA TZ 😍😍 :
kwel mchungaji Yoyote au Askofu yoyote ni Baba wa imani sio baba wa roho zetu
2025-09-20 19:23:28
3
monicafaraji
Monica Faraji :
Wote ni Baba ishu ni Kuna Baba WA Imani na Baba wa kiroho ambae umesema ni Mungu ni kama Umuite Baba ako mdogo Baba
2025-08-15 20:39:53
2
pastor.joswam
Pastor: Joswam :
1 Wakorintho 4:15 [15]Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili.
2025-08-16 12:57:30
5
asherimsigala
asherimsigala :
Asante,umenisaidia GODLESS YOU sana lilikuwa linanitatiza SANA
2025-08-15 19:13:38
5
mudachilimu
freeman mdachi :
Uko sahihi sanaaaaa mtumishii..
2025-08-15 19:02:38
5
frankietz27
Frankie :
Absolutely
2025-08-16 20:39:48
2
moswws2
user8502945455323 :
1 Petro 1:23 Kwa kuwa mmezaliwa mara ya pili; si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika; kwa neno la Mungu lenye uzima, lidumulo hata mile
2025-08-21 14:18:05
2
lucyoward
mrs Abdul :
hakika mtumishi wa Mungu
2025-08-16 14:25:54
4
grassianosanga
Grassiano Sanga :
kweli hamna andiko linasema mwanadamu ni baba kiroho kwa kweli biblia yote sijaona lililonyoosha isipokuwa fasili ya kimtazamo sio biblia hapo sawa
2025-08-18 08:20:16
1
ryderpirate003
tiktok.com/@ryderpirate003 :
𝘈𝘮𝘦𝘯 𝘶𝘬𝘸𝘦𝘭𝘪 𝘱𝘢𝘱𝘢𝘩, 𝘢𝘯𝘨𝘶
2025-08-29 17:26:57
1
mtawala.com
mtawala.com :
1 Wakorintho 4:15 Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili.
2025-08-16 00:11:10
10
mwlnoel1
MWL NOEL EMMANUEL :
Apostle watakuelewa wakiroho tu. uko kiroho zaidi.🙏🙏🙏
2025-08-16 09:59:11
3
jacksonjohn85
ONE KISS TV :
na ndo maana Huwa nakataa kumuita mtu baba wa kiroho
2025-08-22 22:32:34
1
user9454498586992
user9454498586992 :
kaka nakuelewa sana hat nikodem alisema mtu anawezaje kuzaliwa na mtu kiroho. wanakosea sana wanaaminisha hao wachungaj na ndo maan wanapata kibur san
2025-08-18 08:15:33
1
shefmuba
shefmuba :
elimu kubwa hyo wafia dini hawawezi elew
2025-08-16 05:05:12
3
mercymwende45
mama girls :
the insight is breathtaking
2025-08-15 22:16:04
2
pauldaniel2558
paul :
Mimi ndimi niliyeyewazaa katika Kristo Yesu Kwa njia ya injili.1korintho 4:15
2025-08-16 00:23:58
3
howard1618
Howard :
Asante sana Kwa ufunuo huo
2025-08-16 05:11:32
3
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About