@crownmedialive: Kocha Folz " Bado Mapema sana kusema tupo vizuri lakini naamini tuna Mwanga Mzuri mbele hivyo Bado hatujawa bora kwa kiasi kikubwa ila nina kikosi kizuri cha ushindani. Interview kutoka kwa Mkali wa hizi kazi @pablo_almas_7

CROWN MEDIA
CROWN MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 15 August 2025 21:45:30 GMT
19865
838
44
9

Music

Download

Comments

zanzibarian_giant
Giant🐳 :
😂😂😂 kocha anahasira kila dakika
2025-08-16 06:27:28
10
user5412983355365
Shamimu2018 :
mbona waandishi mtakoma maana sio.kwamchakamchaka huo
2025-08-16 12:16:52
5
nancynassoro
nancynassoro :
kocha hacheki na wowote😂😂
2025-08-16 16:02:53
4
augustino_ngulyati
Tinoh :
wabongo ataweza kuishi na sisi kweli kwa userious huu😂😂
2025-08-16 18:26:56
3
ahmedbey299
Ahmed bey :
mechi ijayo atakuja na fimbo huyu 😅😅😅
2025-08-16 19:09:59
2
paulinamsemo
paulinamsemo :
Mi yanga ila apunguze thereu
2025-08-16 11:17:04
1
roland.angel
Qeen Angel 9 :
mnapomuhoj inabid mkimbiekimbie🤣
2025-08-16 18:07:16
1
hamisa.kijonjo
ngindo boy :
Kocha ana asira uyuuu itakuw ana 😊😊😊😊😊😊😊😊 malizien wenyew
2025-08-16 18:06:59
1
niffah20
Niffah :
YANI UNAKUTA UNAMUHESHIMU MTU VIZURI KUMBE ANASALI KWA PASTOR TONNY 😏😏😏
2025-08-16 11:53:27
1
naftary.mgoye
Naftary Mgoye :
congratulations coach 💛💚💪🔥🔥
2025-08-16 10:02:57
1
seyonegisbang
S💖G :
short and clear 👌 no more words but we're ready and we can do better 💯
2025-08-16 09:20:08
1
japhar144
japhar :
hamna kocha hapa
2025-08-16 08:30:20
1
hudeson08
one & only :
huyu kocha ukileta ujinga anakupiga
2025-08-16 07:52:37
1
user7268143853223
khalfan :
kocha mitano tena
2025-08-16 07:46:16
1
elizabethgerald83
lizzy :
mwandishi anapelekwa atari🤣🤣🤣🤣🤣na mtakoma msimu ujao umbea wote fyuu🤣🤣🤣🤣
2025-08-18 07:21:10
0
nightmayer_tz
9tmayer27-tz :
mbona kama mjanjamjanja alafu yuko sirias???
2025-08-18 17:24:02
0
bakari6523
Bakari :
huyu mwandishi anaupiga mwingi aiseeee,
2025-09-01 10:59:28
0
elizabethgerald83
lizzy :
yaani huyu kocha kiboko adi waandishi wanafanyishwa mazoezi🤣🤣🤣
2025-08-18 07:23:25
0
farrymissago
Farry Missago :
imagine ndo unaishi nae huyu afu aamke cku hajickii kuongea afu ww unakuaga na breaking news kila muda 😂😂
2025-09-25 11:15:33
0
peter.son19
Peter🚀🦁 :
kocha ajacheka hadi sasa au mmeteka?🤣
2025-09-14 09:35:00
0
melckzedeck.kibad
FARIAS 4M4 🔰🔰 :
Ukisikia kuongea kisomi ndo hii😂😂😂
2025-09-16 17:33:19
0
mankamushi36
Manka Mushi :
wakenya mje huku🤣
2025-09-17 06:50:49
0
oscar.masai.tz
Oscar Masai tz :
🔥🔥🔥
2025-08-16 04:33:32
0
user7392456019506
user7392456019506 :
kiboko ya wambea🏃‍♀️🏃🏻‍♂️🏃‍♀️🏃🏻‍♂️
2025-08-17 22:22:09
0
To see more videos from user @crownmedialive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About