@mekicareercoach: Wakati uko kwenye interview, jitahidi kukaa kwa ustaarabu. 1: Kaa kwenye kiti vizuri halafu watazame usoni wanaokuuliza maswali. 2: Epuka kuegemea kiti, kuzunguka zunguka 3: Usijikune kune au kujipapasa papasa, tulia relax jibu maswali. Kumbuka hii ni first impression ya kumfanya anayekuhoji kujua wewe ni mtu wa aina gani. All the best! #ajira #nafasizakazi #tanzania WAAMBIE NA WENGINE WANIFOLLOW FOR TIPS ZA AJIRA😉

Career Coach Meki
Career Coach Meki
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 August 2025 08:18:29 GMT
62357
4238
126
205

Music

Download

Comments

theboss09100
𝚘𝚏𝚏𝚒𝚌𝚒𝚊𝚕-𝚔𝚘𝚔𝚞 :
this is a sign
2025-08-16 12:43:10
44
seth_goodluck
seth_goodluck :
Was this necessary😂😂😂
2025-08-17 13:36:52
13
ngachonapilz47
Ngacho 🎲 :
kama kiti kibovu apo apo na sepa nishajua km awajiwez ofsi awataweza kuni mudu 😂😂
2025-08-16 14:21:18
16
mona_samwel
mona :
hivi ukiulizwa swali hulijui inatakiwa ufanye nn??😂
2025-09-22 07:27:52
4
user2739009926085
user2739009926085 :
xixter hongela unaweza
2025-09-23 20:32:23
1
gelemanuswitove
G🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
God bless you
2025-09-24 20:00:16
2
erich_msafi889
Official_erich 889 :
nilishachanganyaga broken english nikanyimwa kaz😅😅😅
2025-09-24 16:48:38
3
hawa.ngalima
Social Media Manager Queen 👸 :
The moment they start asking me questions thats where my whole English evaporate 🤣😂😂😂😂😂nabakia am am am 😫
2025-08-16 20:55:24
8
user4813112538592
starahmicky :
sister ninekuelewa nikipata kazi ntakutumia ela ya kula kidogo
2025-09-23 09:03:44
3
mamaazru
Mama :
Usema ukweli ila vijana wengi huwa tuna attitude sana na ndio maana unakuta kijana and master au degree lakin mtu mwenye diploma ndio anapata kazi simply because of attitude and body body language tuna shidwa Sana eneo hilo vijana
2025-08-16 10:36:56
9
sanda_junior255
abuu sanda 🎮 :
Uko Kwenye FYP yangu sana Nowadays....Is this a Sign! Elimu Nzuri Sana 🙏
2025-08-18 21:17:12
4
kasinanah
kasinanah :
Ahsante madam
2025-08-18 19:39:31
2
user5074202746618
user5074202746618 :
🤣🤣🤣🤣🤣dada nakupenda bure🥰🥰🥰hapo kwenye kuegemea hapo dada mtu unafanya mapumziko🤣🤣haya jakukuta🤣🤣🤣
2025-09-27 05:27:44
1
chakkydva
Chakky Dva :
😂😂nilibanana kwenye kiti nikasema nisimame kumbe najikaanga😂😂😂
2025-10-10 16:36:17
1
heymynameischarlotte_
heymynameischarlotte💕 :
Hivi how to deal na kua nervous kuna mda unafika kwenye interview mtu unaanza kupata kigugumizi au vitu navisahau kabisa how can i handle that?
2025-09-03 14:19:27
0
user67229951558257
Tee :
iv kama umeingia ukakuta wamekaa je unaweza kukaa naww au mpk wakukaribishe kiti
2025-10-10 06:26:38
1
parasino
Leah store :
Ss wengine tunaishiaga tuu kwenye written interview tuu mm natamanig ya kuongea wallah nitajilezea mbka kieleweke😂anyways sster nakuelewa sana🙏
2025-09-01 12:20:54
3
user5074202746618
user5074202746618 :
nilienda usahili wa uwalimu lindi yani unaulizwa mpaka swali la kindageti🤣🤣kumbuka umemaliza chuo miaka sita iliyopita ila nilisoma nikapata cha kuandika 🤣🤣cha ajabu kikanilamba nani akubebe na ka 68 kako 😅😅sahizi ngoja kwanza ni uzee karanga nijipange tena nitafute kazi niende
2025-09-27 05:33:31
0
lucashowsk1
Lucashow sk :
appreciate madam ❤️
2025-08-19 14:11:25
1
kingapolo13
King!Apolo :
Na online inakuwaje
2025-09-01 09:17:49
1
invincible9721
invincible9721 :
Nashukuru kwa tips zako. Zmenisaidia kupata kaz NMB bank
2025-08-31 12:31:19
3
edith_jh
edith_jh4 :
mimj nazunguka kwanza shwaaaaaaa 😄😄😄😄
2025-09-06 11:54:11
1
daudmoses951
pray boe :
wanatumiaqa lugha gani
2025-08-30 21:54:06
1
josam_elegant
Josam Elegant :
word up 🔥
2025-08-17 11:06:16
3
fadhila.ammo
cute babe♥️ :
dada nataka nianze kujifunza online please
2025-09-12 05:57:04
1
To see more videos from user @mekicareercoach, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About