Kwani wanaume wa Tz huwa wanalala upande wa ukuta🤣🤣🤣🤣
2025-08-16 09:32:33
470
BigJanieFreshFish :
mwanaume anang'ang'ania ukutani😂😂
2025-08-16 09:13:21
412
-HASSAN-🐾 :
😂😂wanawake kitu kdg wanataka kuuliwa 😂
2025-08-16 17:56:44
320
mumu🌺 :
ila ngosha ni handsome
2025-08-17 08:37:01
204
Sadick Gogo :
mwanaume unalalaje ukutan kwa mfano😅😅😅😅
2025-08-16 11:55:39
80
whitedisiner :
Ninavyo penda ukutani wallah bora uniue😁
2025-08-16 15:17:02
50
Aika Temu :
mwanaume halali ukutani huu ugonvi jana tu nilikuwa nagombana nawakwangu😅
2025-08-16 09:58:49
61
Deborackirifu :
wanaume wanao lala ukutani ni waoga😂😂
2025-08-18 15:31:15
12
joe :
njoeni tulaikiane video tano tano
2025-08-16 13:48:27
11
lenatta :
napenda ukutan ili niweke mguu mmoja juuu dirishani
2025-09-12 16:53:22
8
JOE BOY :
Ila Ngosha Ukisema mm sio wa kunyea Una mana gani kaka😂😂😂
2025-08-16 10:26:26
15
janeth Mollel :
😂😂😂😂 nimeshawah pigan na mtu shule kisa kalala upande wangu😂
2025-08-16 09:42:38
27
izackruz :
Kwani mnagombania upande gani¿!
wa Gaza au¿¿
msituchosheee....
2025-08-19 08:13:50
9
SelectorJnrB1 :
no wonder tz iko nyuma Sana east Africa nzima, Kumbe wanaume ndo wanalala pande wa ukuta Bibi naye ndo anafaa apamabane na majambazi wakija kwa nyumba 🤣😂🤣😂
2025-08-16 09:42:23
10
Janice💞💕 :
kwani ukuta wenyewe unasemaje😂😂
2025-08-27 05:58:35
7
Zuwena❣️ :
Sasa mwanaume unalalaje ukutani
2025-08-18 07:17:06
5
Ajia :
😂😂😂😂 Mm kitanda kinakaa kati kati ss hiv kila mmoja adondoke kivyake tumeweka katikati kwa ajil ya kuvutana nan anataka kulala ukutani😂😂😂
2025-08-16 18:36:50
7
Shaddy :
mke na mume wote utakuwa n malast born😂😂
2025-08-18 11:55:44
5
Renee :
Adui yako muombe ndoa😂
2025-08-16 15:10:16
11
user9582237127908 :
mwanaume halali ukutani acha ushamba. inabidi uje kwenye kikao
2025-08-17 19:19:18
7
Bint mhagama🤍 :
hahhahaha jmn nmecheka kwa nguvu
et nakumwagia maji😂🤣
2025-08-16 19:05:27
7
1 :
wanaume tunalal ukutan hiy ndo sheria
2025-08-16 09:38:17
7
To see more videos from user @ngoshaalex, please go to the Tikwm
homepage.