@razor.33:

MASHLAY01
MASHLAY01
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 16 August 2025 11:05:58 GMT
900987
50065
5270
3408

Music

Download

Comments

sallytales1
Helloosally :
Nowonder unachukulia video kwa mahindi shosho asione😂😂😂
2025-08-17 08:24:43
3128
pheebs104
Miss Phoebe🌹💕 :
bro ameanza kuuza inheritance 😅
2025-08-16 22:55:17
4271
djembabouy006
djembabouy 006 :
hii nongwe imeiba sweater ya nyanyake..15 bob ama
2025-08-28 05:48:06
0
rayle254
EMPRESS 🇰🇪 :
ma shosh wanashangaa gafla bin vuu mbona wajukuu wanakuja ushago na smiling face 😊😂😂kumbe wamekujia sweater 🤣
2025-08-17 02:58:57
2391
comfywear1521
comfy shoe wholesale N RETAIL :
hizi sweta sijawai ona zikiuzwa.hua zinatoka wapi😂😂
2025-08-16 21:40:05
1026
bunge.dantoz
Bunge Dantoz :
Hapa ndipo nlijua Wa Tz Ni Ng'ombe za watu...Kenya shosh used this where this sweaters in 1900s...ndio fashion saa hii Tz😂😂😂
2025-08-17 06:53:07
32
conrad.mauka
conrad Mauka :
nyanya yangu ako na hii label inanuka kondoo😂
2025-08-17 09:17:19
787
shee_kow4
wanjiku_stefanie :
🤣🤣🤣kamau ni fulana ya cucu waiya
2025-08-16 18:45:17
3691
kimanneliasgmail.com
queen Robot :
so unataka laana ju ya 15k eeeh 🤣🤣
2025-08-24 16:17:00
2
darth_motelin
Mikey. :
For those who were asking what Gentrification means in the context of the UN offices being relocated from New York to Kenya, this is a perfect demonstration. In a few weeks time, these cardigans are going to cost twice what they used to cost and most grandmothers, the original target market, will no longer afford it. Y'all don't gentrified Grandma cardigans.
2025-08-17 07:57:59
45
biiinspired
Bii_ :
hii ukivaa unaeza laani mtu
2025-08-17 09:09:50
374
_itsofficialcassy
cassy🖤✨️ :
15k ni mingi utaniuzia na 14k
2025-08-16 20:09:44
14
benjitrucker
Benji traders :
Rudishia shosh Sweta wewe
2025-08-16 13:50:23
840
peshmoraa2
Pesh Moraa2 :
sitaki kusema 'aliiba sweater ' acha tu niseme alikiba sweater 😂😂
2025-08-17 13:03:10
28
themaliks2
malik's fam♥️ :
ukipata customers wawili nipigie mmoja through pass nimwuuzie ya shosh but ni ya green
2025-08-17 07:47:15
95
informerchu
Informer chu 🇰🇪 :
Bad lack to me nmepata shosh yke anawekeanga kuku ikianza kutega mayai na kulalia 😌
2025-08-17 10:46:52
38
virdeejames254
Virdee James :
Kwani mashosh wetu wote wako na hizi stuffs🤣🤣🤣🤣...wangu aliniachia last year akaenda kuchill underground 😅
2025-08-17 06:26:38
23
belle_mumbii
Belle_mumbiii🦋 :
Sijawahi ona hutu tusweater tumeoshwa aki😂😂
2025-08-17 15:15:53
20
_bonecrusher56
bone crusher :
shosh yangu Ako nayo lakini kananuka vumbi na Moshi mbaya sana
2025-08-17 14:25:10
79
user9582935330843
bella shila🌹 bella shila :
ya shosh Iko hapa Ina nuka kondoo na hataki nimuoshee🤣🤣
2025-08-17 10:35:41
130
debbie.dae5
Debbie dae :
shosh anatatuta sweater yake kumbe Alienda ku shut nayo
2025-08-28 07:13:25
1
brysonmsuya604
msuya :
wachaga sweta
2025-08-27 12:35:08
0
lucliviam
Fay :
ushagawa inheritance yako prodigal son🤭😂😂....model tu kwa mafefe juu owner akikuona😂😂kitusi pap!
2025-08-17 14:50:27
57
tessmukuaofficial
tee🎻🪗🇰🇪🇰🇪 :
uzuri shosho yangu ako na tano kama hizi 😂😂
2025-08-17 08:56:40
93
To see more videos from user @razor.33, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About