Huyu jamaa alikuwa mnoma sana pale THT ila inadaiwa utovu wa nidhamu ndio sababu ya kufukuzwa THT na akapandishwa Barnaba kuchukua nafasi ya Buibui. Buibui kati ya watu anaowachukia ni Barnaba, yupo mtaani anauza mitumba sikuizi ili maisha yaende na bado anapambania muziki wake aweze kurudi tena japo kuna tetesi kuwa jamaa anabwia sembe mara zote amekuwa akikataa hilo binafsi. “Nimekusamehe” ni classic song iliyotoka mwaka 2006 na kutayarishwa na Master Jay chini ya MJ Record.
Big S/O Chapo
2025-08-20 15:04:59
0
C@pt. N@po :
acha kubana pua
2025-08-16 19:32:37
0
* Man Yuser :
Daaaaaah Mwanangu FRANK 😊😊 Now ostadh
2025-08-16 18:43:06
4
尤努斯 :
Buibui YUKO wapi😂
2025-08-18 10:20:32
1
WAKUSIN DADDY :
Bui Bui mawazo ilikua bonge la goma
2025-08-17 05:14:33
2
Mussa Fikira Malouda 26 :
Daah kípaji kilichopote ghafla 😭😭
2025-08-17 05:14:19
0
mwakyusa :
clouds waliua kipaji Cha mwana
2025-08-16 20:09:20
7
King dee :
bui wa baya mwanangu kabisa
2025-08-19 17:37:16
1
Mahmoud Mohad :
Buibui 🔥
2025-08-16 21:09:13
6
Binadamu wa kale :
hili beat kwenye seapiano ni noma
2025-08-16 17:33:17
3
lee wizzy :
Blood Bui Bui🔥
2025-08-16 16:49:35
6
huncho :
Unyayooo wa samaki 😂
2025-08-17 10:17:36
1
KIHANDA MAGARI :
Legendary buibui😇
2025-08-16 15:57:04
4
emman86 :
buibui mawazo,
2025-08-16 21:02:31
2
Bill sepengaa :
Bui wabaiya
2025-08-19 15:41:28
0
n.a.b.e.e.l_y :
Ngoma inaitwaje
2025-08-18 17:26:04
0
B talent...sambaa boy 77 :
ngoma bora ya mapenzii hii
2025-08-18 13:28:58
0
Mudrick's business Stories :
Duuhh huyu mwamba
2025-08-18 09:08:10
0
Kevvoo Ndege :
Ila Zama …!
2025-08-18 15:31:40
0
Mr Turuki :
huyu mwamba yupo🙀
2025-08-17 16:07:50
0
Jackson Malale :
🤣🤣🤣🤣 swala gumu sana
2025-08-17 17:39:52
0
Spacebway :
TALENT & EAGLE
2025-08-17 19:03:02
0
sekky :
was beautiful rnb back then
2025-08-17 14:12:44
0
To see more videos from user @_alexee_05, please go to the Tikwm
homepage.