@visitngorongoro: The comedy and courage of the crater in motion. What name do you call warthogs in you mother tongue language? #visitngorongoro #unforgettableexperiences #ngorongorocrater #ngorongoro

Ngorongoro Conservation Area
Ngorongoro Conservation Area
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 August 2025 14:12:57 GMT
110203
7747
268
723

Music

Download

Comments

direkta45
Direkta45 :
Yaani huo wimbo ndo umefanya niwape like unanifurahishaga Sana 😂🤣
2025-08-16 18:53:49
196
mr_humble_tz
HUMBLE BOY :
why vifuate barabara 😅😆🤣 navyo vinapenda kiki
2025-08-17 00:30:27
59
omahlay_1234
omah lay :
admin ni nan😅Huwa anajua kuchagua nyimbo 😅 video nyingi nafatilia za hii account 😅
2025-09-03 21:46:41
1
smallvilleseason4
Quincy :
finally shirika la serikali limeajiri admin genZ🤣
2025-08-23 17:57:44
7
be_be_99
Smartboy_shayo :
Usipocheka we fala 😂😂😂🙌🙌🙌
2025-08-16 21:38:05
24
____elia______
Elijah 🔥 :
Admin akili huna 😂😂😂😂
2025-08-19 07:52:32
5
mariba_the_guide
RIBA _BOY 🤴 :
anaendesha account ya ngorongoro ni Genz😅
2025-08-16 18:15:52
57
edithjacob6
edithjacob6 :
Admin njoo ule pilau 😁😁😁
2025-08-16 14:58:06
75
matwelepo
Matwelepo :
Walitimua mbio😂😂😂
2025-08-17 08:52:26
3
drmoresby
MORESBY :
Why are you running!? 😁😁😁😁😁
2025-08-16 19:55:38
3
rodriguezhairstylist
rodrigue z hairstylist :
part 2 please
2025-08-17 07:38:24
2
tenfo_1
tenfoz_arts :
SAS hio nyimbo ndo nn
2025-08-17 08:24:51
2
sweetie7284
Sweetie :
jina la nyimbo tAfadhari anipe jina
2025-08-19 10:04:32
1
basictiney
❤️ :
Admin jamani 🤣🤣
2025-08-17 09:20:13
3
muuguzi.mkunga4
Muuguzi mkunga :
ngiri ni wajinga sana
2025-08-16 17:20:37
12
g19massebu
Man'Kush :
Vina leseni hivi?mbona vinafata barabara
2025-08-17 05:44:25
7
hamisil97
lj197tz :
admin admin 😂😂😂😂😂
2025-08-16 14:43:04
14
zalala22_
ZALALA :
ngiri
2025-08-29 18:14:37
1
nazar_srh
nazar_srh :
Huyu admin wa ngorongoro sasahiv apewe urais🥰
2025-08-19 07:49:03
4
yusuphtwaha815
yutwa :
hahahhhahha naona hii page ya ngorongoro imechangamka 🥰🥰
2025-08-17 03:42:49
6
joel.mbwambo4
Joel Mbwambo :
Ila kama unajivunia kuwa mtanzania gonga like apa
2025-08-28 09:56:27
2
naym301
naym😘 :
😂😂😂nyie ngorongoro mmeamua kutuvunja mbavu 😂🙌
2025-08-17 12:11:31
6
blessedzacky
Zacky✝️🌫 :
lazima admin ni Gen Z🤣🤣🤣
2025-08-18 06:05:10
3
toothinho
toothinho :
Kasongo Anaiamini Engine yake Hakuna Haja Ya Kuingia Chaka Ni Riadha 😂😂
2025-08-28 06:11:08
2
miraiyah
Miraiyah 😉 :
Tanzania sihami ..😂😂
2025-08-29 13:11:11
1
To see more videos from user @visitngorongoro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About