@kalungu_psychologist: #fypp #fyp #fypシ゚

Kalungu psychomotive
Kalungu psychomotive
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 17 August 2025 18:19:05 GMT
500438
13539
595
812

Music

Download

Comments

j.kahango
Kahango Jr :
maisha hayana kanuni tumekutana sana na majibu kama hay na mzigo tumekula. kuna mmoja huyo alikuwa ana nyodo kweli, saizi nipo nae hapo kachoka chakali amelala
2025-08-17 22:40:11
161
ernestfomokalidja
Eřñëŝť Fõmõ 🇨🇩🇲🇼🇦🇺 :
😂😂😂
2025-08-17 22:07:25
0
user87962619445494
Wepray :
sasa jibu sahihi lipi na Wewe usitufuruge
2025-08-18 06:15:47
26
chullymkanimussa
Chully Mussa Mkani :
Acha uongo bana mapenzi hayana fomula😏
2025-09-28 06:01:38
26
feisalalfan
FEISAL TV ONE 🇹🇿 :
natoka hapa naenda kufuta namba awezekani nijibiwe Asante 😅😅😅
2025-08-17 21:04:47
22
ahmedjuma2177
binjuma006@gmail :
tulio wahi kuambiwa asant tujuane apa😅
2025-09-09 13:46:53
15
daliabeautysalon00
Dalia beauty palace :
kumbe umekula?? pia naweza kujibu😁😁😁
2025-08-17 18:27:03
13
user0761532396
David .j. myombe :
wachambuz wa mapenz mmekua weng san mnatuchanganya san sisi tunaotafuta wenza......ww kama umeoa bas enjoy maisha yako we let dili za pesa tutaelewana
2025-08-17 21:18:35
11
kennedytz1
Kenny' fresh fruits🍓🍉🥭🥑🥝 :
Mmmh uzulia vikao vya wanaume kijana acha kudanganya watu
2025-08-17 23:27:50
6
shebbymakabila45
Shebby Makabila :
me nliambiwa sikupend na sikuitaji 😂😂
2025-08-20 13:48:17
5
emmazackytz
emma_zacky :
mambo dear, majibu ,poa vip,niambie, unasemaje ,p ,pw ,sf ,xf, hapo imekaaje wadau🤣🤣🤣
2025-08-19 10:10:15
5
mbogora.sadiki.ma
Mbogora sadiki :
mm nilikataliwa mwaka mzm lkn sasaiv ndo mke wang
2025-08-18 12:24:00
5
marylisso2
Nutrimoss :
mitandao inafundisha kuachana na watu,msipende kufuata ushauri wa mitandaoni,vunjeni ukimya,msolve matatizo yenu,hawa ni maenjent ya kuharibu.
2025-08-18 01:10:28
4
mr.chegge
Mr.CHEGGE 🫡 :
Na hakuna mwanamke umtongoze apo apo alafu akakukubaria hapo hapo bila kupepesa macho hayo mapenzi hayapo mimi naona hayo majibu yote uliosema ni ishara ya kukupima upendo wako
2025-08-18 07:17:33
4
allytunes_
ALLYTUNES :
me nilipomwambia kani BLOCK je kamaanisha nini ndio ananipenda zaidi au ??
2025-08-18 08:52:13
4
mariam.cute49
Mrs elly🫶 :
jibu zuri ni lipi sasa
2025-08-22 05:28:55
4
pugi474
pugi :
kwa mwanaume mwenye kujua kutongoza huwezi kutumia neno nakupenda kwenye first approaching,zipo nyingi za kutumia za kumuomba mwanamke uhusiano, si kusema nakupenda ovyo ovyo huo ni udomo zege,Wanawake ni viumbe wenye sense Kali za kumsoma mwanaume wakati wa kumu-approach
2025-09-11 23:32:18
4
michael19920113
Jminko :
Bro hapo unawez pewa majib yot lakin ,ukikat tamaa na majb hayo,haufanikiwi,hata anipe jib gani,mi bado,siku 3 mbele
2025-08-18 04:08:32
3
manufaa.online.tv
MANUFAA online TV :
Upotoshaji zinduka😎
2025-09-26 20:36:14
3
chollejr_
Ottoman :
🤣🤣🤣walai naomba nisikutane na majibu aya ntamvua nguo
2025-08-18 05:23:05
3
usermr_lonely
I'm Steven :
me nilimwambia nampenda akanijibu "situmiagi" nikamuulza hatumiagi nn akanijibu "hatumiagi wanaume weusi" Toka hyo siku sijarecover mpaka
2025-09-30 23:33:08
3
sion.boy
sion boy :
Hatuchoki mzeee ,,,mapenzi ya kwel hamuwezi kuelewana Kwa muda mfupi tuuu Huwa yanachukuwa muda kuelewana na watu wadizaini hiyo wakiingia kweny mapenzi huwaawanamaanisha,,,kwy majibu hayo hayaoneshi kuwa ndo mwisho wa kupambania mapenzi yako kwake,kwasababu huyo unaemwambia nakupenda haujui yuko KWENYE hali gani katika mahusiano huenda wapo waliomwambia hivyoivyo kwaiyo nawewe anakuona kama ndo walewale ,,,,,,,kwy haimaanishi kuwa hayomajibu yakufanye uache kupambania upendo wako kwake,,,,,,,
2025-08-18 07:48:51
3
user5097507106856
rider :
je akisema anamtu
2025-09-20 06:05:46
3
alex.inano.gintang
ALEX INANO GINTANGO :
tafuta hela kaka upugunze kujieleza
2025-09-25 10:09:59
2
dereva.wa.mchongo
Derick male :
achana na sisi bwana
2025-09-24 21:05:25
2
jjosephat236gmail
Jossie🌹 :
tunajua
2025-08-18 08:44:35
2
user3533316698294
🌸florah🥀 :
🤣🤣🤣🤣🤣 ila kuna ukwel
2025-08-18 00:56:58
2
user2960278022728
Minister Victor Cephas :
Nimeipenda hiyo "UBARIKIWE" eti kakuona pepo🤣🤣🤣
2025-10-02 13:16:07
2
rajabally1
rogous :
kuna manzi nikimwambia nakupenda anasema asante, nikiomba mzigo hataki kabisa ,lakin nikimwambia usiku mwema anajibu na kwako pia mpenz bc ancomfuse
2025-08-18 11:36:45
2
user749661216149
Eliud mgata :
Tunaomba majibu yaliyo sahih yaweje sas?
2025-08-21 18:47:04
2
mfipa_wa_rukwa
mfipa wa Rukwa :
mm huwa wananitukana dah naumiaga sana mpk kutongoza nilisha acha wenda mungu hajapanga mm kuwa na demu.😭😭
2025-09-06 16:00:19
2
salma073_
Salma💕 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-17 18:32:11
2
mkapa.reuben
Mkapa Reuben :
shida siku hz pesa ndo inayo ongea
2025-08-18 09:22:10
2
user9677466330589
mommy :
Watu wa" NAKUPENDA Pia"tujuane hapa 😂
2025-08-18 05:51:19
2
uwezaa
kiyama :
TUMEWALA HADI WALIOTUAMBIA SIYO TYPE ZAO, KAZA TU,HAKUNA DEMU ASIYEGONGWA,
2025-09-10 10:39:56
2
sussan_mkamba
The Host Doctor :
Nmekua pepo😂😂😂😂
2025-08-18 17:23:22
2
pirlo0880
IMRAAÑ :
@Mr Smile😁🙌😍 @___young.rich___ @wiz delle @shantizo. 45 @ @YOUNG RAPCHA🇹🇿 @V_ v@nny..🥷💔🔐 @babe🌺🥹 @irine M
2025-10-14 08:52:21
2
edwin.mumenyeeri
The peace ✌️ silent user E004 :
unajua mapenzi hayana mwalimu 🥹
2025-09-27 13:12:31
2
ajernruben7
The real ajern :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-09-27 14:10:44
1
pinsonmuhoza
pinson muhoza :
Asee mi nimeambiwa ngoja amuulize Mungu alafu atanijibu
2025-08-18 09:22:13
1
jatstce
Kevin's12 :
sasa akijibuje ndo ntajua kakubali au ananipenda kweli😟😟😟
2025-08-18 09:25:16
1
merlituu
merlituu voice :
taira hili limesoma boding halijui hata ugali chumv Alf laongea usenge
2025-08-19 00:52:09
1
stillo258
stillo :
upendo hauna fomla kama hiyo
2025-08-18 08:45:26
1
japh2520
Japh' :
we nae usituchanganye sas tuamin Jibu Gan?
2025-09-06 19:52:15
1
34shijajunior
@shija junior34😎 :
kwahy nn unashauli🤣🤣
2025-09-12 00:52:01
1
salvatz
@salvatz :
mbn ww unaongera negative tu
2025-08-18 07:45:22
1
sarahsaanane691
Sarah Saanane :
umenivua nguo nyau wewe 😔😒
2025-09-06 07:36:53
1
ximon_99
bahatijacob4 :
we nae maisha yamekushinda tafuta kontent nyingine
2025-08-18 07:24:47
1
ngalalumba1
Boy Man :
Broo unaongea vitu visivyo elewaka tafuta content nyingine una poteza muda😂
2025-09-05 21:54:32
1
martharmotela5
MarthaMotela :
yaan watu wengi wangekua na uelewa huu kusingekua na wasumbufu 😂😂unamfuatilia mtu mpaka keroo duuuuh 😂
2025-08-18 20:45:02
1
chromatic56
chioma :
mtu unamuuliza unapenda anakujib wew unaonaje 😳😳
2025-08-18 07:01:45
1
To see more videos from user @kalungu_psychologist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About