@vitu_kutoka_germany: Tunazo secondhand from BREMEN, GERMANY 🇩🇪 0717575635 PRICE 👉 550,000/= LOC 👉 KINONDONI 📞 0717575635 DELIVERY 🚚 YES MIKOANI TUNATUMA 🚎 #dishwasher #washingmachine #cleaning #samsung #vitukutokagermany
vitu_kutoka_germany
Region: TZ
Sunday 17 August 2025 20:28:19 GMT
Music
Download
Comments
PABLO :
Inakwangua ukoko wa ugali?
2025-08-20 14:14:09
10
nduta kangarua :
how much please
2025-08-18 04:01:54
0
Sylivanus jerome :
0762562647
2025-08-24 15:37:10
0
user8467676011833 :
bei gani
2025-08-17 20:55:31
1
BLACK__JESUS :
inaosha sufuria ya ugali ?
2025-08-18 06:33:02
4
Emily_collection24 :
bei
2025-08-24 17:04:47
0
Martha Sibale :
isije ikawa inatoa tuu vumbi tuwekeen sufuria ya ugar na sahani zenye mafuta yaliyo ganda
2025-08-21 06:41:59
0
mamy :
dish washer bei gani
2025-08-18 02:51:59
0
magie mtamu :
natoa utamu style zote sichagui vipenzi 🍆💞🥰
2025-08-24 12:55:54
0
ma D :
vyombo vya udogo inaosha
2025-08-18 15:31:52
1
zahabbiyan :
tunafundishwa uvivu 😂
2025-08-21 11:00:36
0
MrkaiSaleh :
Hivi huwa mnaona shidagani kusema bei
2025-08-18 07:03:39
1
jacky glam salon :
pesa ngapi
2025-08-18 17:58:53
3
Je_mohj :
weka sufuria ya ugali sasa tuone
2025-08-19 14:23:38
2
user25940244497251 :
nipo Lubumbashi, napenda kujuwa, ni ngapi?
2025-08-20 16:58:47
0
rebecca :
hatimae ugonjwa wangu umepata daktari
2025-08-18 17:28:27
2
Da Chinga :
Hii Nzuri Sana Aiseee🔥
Haya Ukitaka Dish Washer Ya Hisense Unapata Kwangu Ya Kilo 9 Na Kilo 15 Karibu Usipite Bila Kufollow hii page
2025-08-22 12:56:07
0
Cathysie :
alienunua aje atupe ushuhuda
2025-08-23 16:03:50
0
Tzyangu :
ni mtumba au????????????
2025-08-22 14:16:07
0
Dove🕊️❤️ :
hatimae😂🚶♀️nlikua naisubir hii sana maan me na vyombo tuna ugomvi
2025-08-18 16:58:37
7
Pastor Teddy Waziri :
masufuria yenye masizi inasuguage sasa na ni sh ngapi?!!
2025-08-23 04:53:16
0
Princess Firdhaus :
nitaftieni mashini ya kufanya kazi zote za ndani ya nyumba 😂😂😂
2025-08-22 09:47:49
0
pachisnicolaus :
Hii haili umeme sana ?
2025-08-22 10:45:49
0
Da Momo :
Hiki kitu ndo nlikuwa nakisubir
2025-08-22 08:41:58
0
Sarah Njiba :
ni gapi
2025-08-22 11:43:30
0
To see more videos from user @vitu_kutoka_germany, please go to the Tikwm
homepage.