Nilishawahi kutengenezwa nywele kwa huyu kaka , but let me tell you maina kunyoa ni expensive kuliko kusuka uwiiiii baada siku 2 tuu hapo hazitakuwa hivo zinavurugika 🤣🤣🤣🤣🤣 nilitamani kuliaaa . Kama hauna sasampa ya kwenda saloon kila wiki we suka tuu
2025-08-18 07:21:45
34
Nims_ MP :
please mtag bs
2025-08-18 17:38:21
1
WELLNESS HUB🧖♀️🍃💞 :
Nilulizen mm nilinyoa kwa pasco 150k ile nimepanda boda kufika nyumbn style imevurugika nililia 😅😅wakati mm nilipanga nikae nayo mwezi
2025-08-19 18:41:43
2
sherrylove🥰❤️ :
km hivi ulivyotengeneza ww ni bei gani
2025-08-18 16:44:42
2
Da Asu :
bei gani
2025-08-19 06:51:59
0
mamygladie :
Naitamanigi hii style sana kwa nywele zangu zilivyo lain bora niweke kiwigi katikati nisije nikalia bure na hela yangu😂😂😂
2025-09-07 06:21:03
2
itsmemimi454 :
Mtag please
2025-08-18 20:55:31
0
AnjeLu :
Anakutengeneza VIZURI SANA
2025-08-18 06:51:56
0
Baby_giselle :
Kumbe unaongeaga mke wa kaka🥰👌sijawah kusikia sauti yako
2025-08-18 07:53:15
1
aishamohamed1015 :
Ahsante sana mungu akubariki
2025-08-18 08:39:21
0
Maria :
huyo ni noma sana
2025-08-19 16:40:25
0
Miss M :
mwambie anyoe nywele zinatisha
2025-08-22 17:25:52
0
Madam Jaq :
bei gani
2025-09-06 09:08:44
0
PeaceMama :
Joel kaka yangu 🥰👌
2025-08-18 10:08:03
1
user7962513760393 :
Jooo master mwenywewe
2025-08-19 18:18:40
0
Ninah🍒 :
Ila joel azeeki jmn yooh🔥
2025-09-09 04:28:39
0
Zulpher Saiddy :
♥️
2025-08-18 11:44:52
0
Domie😍 :
🤣🤣🤣
2025-08-18 09:51:06
0
wardaissa399 :
Mrs pet
2025-08-19 08:47:45
0
To see more videos from user @official_dodo66, please go to the Tikwm
homepage.